Naombeni kufahamishwa,mimi ni mwalimu wa shule binafsi tangu mwaka 2008 nilipangiwa shinyanga vijijini sikuweza kwenda kwasababu nilitakiwa kuwa karibu na mama mzazi aliyekua hospitalini kcmc hivyo miliomba kazi ktk shule binafsi hadi sasa.
Sasa nahitaji kuingia serikalini nitaanzia wapi kuomba kazi?
Sasa nahitaji kuingia serikalini nitaanzia wapi kuomba kazi?