Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Ritz hawezi kuja hapa. Ni kama msikiti tulio jirani na bucha ya KITIFIRENimepitia humu nashangaa sjamuona mohamed said wala Ritz wala abbassyria na wapuuzi wengineo wafaidika wa wizi wa balozi,hicho kilichohojiwa PAC Jana ni mwanzo tu ya mengi yatakayohojiwa,bado viwanja hewa nk,lazima nyoka achomolewe shimoni safari hii maana hiyo ripoti imetinga PAC ndo iingie bungeni,bahati mbaya rafiki yangu zito alikuwa m/kiti PAC na madudu mengi aliyafukia sababu ya uswahiba na balozi na mkwere na hata yule jamaa yulee pale St.peter, wote hao ni wamoja