Muda wa mafao/pesa za NSSF kutoka

Muda wa mafao/pesa za NSSF kutoka

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Salaam kwa wote.
Napenda kufahamu muda maalum ambayo mwajiriwa akisitisha ajira yake au kuacha kazi anaweza kupewa pesa zake NSSF.

Shukran.
 
Nimesikia lkn unataka kuniambia hela zangu nazo wakae nazo?
Ndio maana yake boss....hela imeelekezwa kwenye viwanda.....shukuru Mungu mkuu wa kaya anawajali saaaaana watu maaskini wa nchi hii kiasi cha kuelekeza hela za wafanyakazi wa chini ijenge viwanda....watapewa ndugu zao wao wakifa kwa njaa.
 
hapa huta pata majibu sahihi-onana na ole sendeka pale Lumumba utayapata ila ana wasaidizi wake akina lizaboni ,mudawote wanaweza kukusaidia
 
kweli wanyonge na masikini wa tz mtakiona cha moto mpk mtakoma, miaka 55 kufika hati hati
 
Salaam kwa wote.
Napenda kufahamu muda maalum ambayo mwajiriwa akisitisha ajira yake au kuacha kazi anaweza kupewa pesa zake NSSF.

Shukran.
Kama kilakitu kimelamilika yaani taarifa zako ziko fresh, mwajiri amewasilisha michango yako yote na signatories hawajaenda likizo, ndani ya wiki mbili utakuwa na Mpunga wako kibindoni.
 
Mkuu unauhakika na jibu lake au unamfariji mwenzanko tu?
 
Uhakika hiyo.
Mkuu siku hizi mambo hayapo hivyo. Ukipeleka barua ya kuacha/kuachishwa kazi wanakuambia subiri wafanye uchunguzi na uchunguzi haujulikani utaashi lini maana wanasema inaweza kuwa siku 3, wiki 2 miezi kadhaa kwahiyo wewe subiri,kwakuwa kuna namba yako ya simu tutakupigia. Labda kama wamebadilisha mkuu utupe taarifa
 
Mimi nilienda 28,mwez wa saba wakabaki na copy ya kitambulisho na barua ya kuacha kazi wakaandika namba ya simu na kunambia nienda tarehe tatu wa kumi.Jumatatu naenda kuwasikilizia.
 
Tupe mrejesho NSSF wanasemaje
 
Muambiweje ili mueleweee...? Pesa zimeenda kujenga viwanda hamusikii..!!
 
Back
Top Bottom