Recent content by Mickih Tutu

  1. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua bidhaa kupitia Jumia, naomba kujua uaminifu

    Nataka kununua bidhaa kupitia JUMIA naomba kujua uaminifu na uhakika wa hii huduma kama kuna ambaye aliyewhi pata huduma hii anisaidie
  2. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Vista

    Hivi ni kweli gari aina ya Toyota Vista inakula inatumia mafuta mengi sana?
  3. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania The Open University of Tanzania hakuna digrii ya Public Relations?

    Naomba msaada wa kueleweshwa hivi hiki Chuo Kikuu Huria hakina course ya Bachelor ya Public relations? Maana sioni kwenye prospectus ya 2015/2016.
  4. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana
  5. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

    mm na enjoy na Samsung Galaxy Note 5 yangu cna mpango kabisa na hizo teno zenu. Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  6. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

    Samsung huwezi kulinganisha na Tecno mkuu
  7. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

    upo vizuri [emoji2] [emoji2]
  8. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania 1961 na 2016

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mba

    Nasumbuliwa na mba mwilini hasa kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sasa. Hua nikitumia dawa napona lkn baada ya miezi kadhaa wanaonekana tena. Naomba ushauri na tiba.
  10. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nibadili course?

    poa asante
  11. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nibadili course?

    nambie basi nianzie wapi
  12. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nibadili course?

    wasomi naomba msaada wenu. Nimechaguliwa kujiunga na degree ya socialogy lakini nahitaji kubadili nisome public relations(open university) inawezekana?
  13. Mickih Tutu

    JamiiForums Tanzania Nina bajeti ya laki 5-6 nahitaji smartphone nzuri

    Kwa bajeti yako Kanunue Samsung Galaxy A7 toleo la 2016 imekaa poa
Back
Top Bottom