Nataka niwaambie kwaautaalamu kidogo niliokuwa nao kwa maswala ya Report za kijasus. Kwanza haziandikwi vile kama zilivyo andikwa na hao. Wanaojiita majasusi wa CHDM. Pili mashine ya Udukuzi wa mtandao au CM tanzania kwa mara yakwanza imeingia Tarehe 23/7. 2011 na mmiliki wake mkubwa ni TISS...
Daah kiukweli nilitegemea mwaka huu itakuwa babu kubwa tamasha la Fiesta kuwa angalau tutamuona P. Didy au tuamuona Rihana vile. Ila kiukweli hawa Clouds tamasha lao mwaka huu wamechemka. Kuleta watu wenye nyimbo 3 au nne vile ninazo zijua. Kutoka kwa Ricky Ross had kwa DaviDo. Nika...
Familia ya TFF inakutaarifu Bwana/Bib/Prof/Dr/Mh/Mr./Mrs..........
tarehe 20-10-2013 majira ya saa 16:00 jioni maeneo ya Viwanja vya TAIFA kutakuwa na harusi ya Binti yao mpendwa YANGA anaeolewa na bwana harusi Kidume cha mbegu.
** SIMBA FC ** Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu...
Familia ya TFF inakutaarifu Bwana/Bib/Prof/Dr/Mh/Mr./Mrs..........
tarehe 20-10-2013 majira ya saa 16:00 jioni maeneo ya Viwanja vya TAIFA kutakuwa na harusi ya Binti yao mpendwa YANGA anaeolewa na bwana harusi Kidume cha mbegu.
** SIMBA FC ** Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu...
Uongo mwingine bwana. Habari ya ufoo Saro iliruka TBC1 siku ya tukio na mwandishi nkumbuka alikuwa Jane john vile. Na kwenye Jambo tanzania iliruka siku ya pili yake. Acheni chuki
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Alichokifanya. Ni kizuri tuu na siku nifa nitambebea jama. Mushi pombe na chips na nyama choma. Yalishawah kunikuta kama haya kiukwel. Unamhudumia mtu we yeye pamoja na ndugu zake thn analeta ujinga. Halaffu wanateteana na mama mkwe. Niliishia kufungwa Polis na kazi kidogo nipoteze. Kwa bahata...
Yan mtoa mada umekuwa mhafidhina sana yan hata huelewii kinachoendelea. Ziara za mkuu wa kaya zimeisaidia sana Tanzania tuache uongo na chuki tumnyonge lakini haki tumpe. Mfano hii ambayo anarudi leo Ni mkutano na shughuli za umoja wa mataifa marais wote wapo huko. Alialikwa Canada...
Tanzania wki hii imekuwa na mshituko kutokana na magazeti yanayoaminika yanafuata maadili vizuri sana ya taaluma ya Habari ambayo ni Mwananchi na Mtanzania.
Mtu aliyehusika kuyafungia magazeti haya ni Mwambene Isongole ambaye nikibaraka mkubwa wa Bernad Membe. Siku ya alhamis kwenye...
Habar wana JF. Mchana huu nimepita hapa wizara ya Mambo nje na ushikiano wa Kima taifa. Nimekuta kuna hili likiongelewa ofc ya ofisa mmoja alikuwa anaongea na mwenzake. Nataka kujua kama kuna mtu yoyote anajua juu ya hili. Nilipoliskia kwa haraka lilinitisha kidogo baada ya kuona jana...
Habaar za mjini hapa toka jana zinasema Wema sepetu na Bwana mdogo Daimond wamerudiana Rasmi na inasemekana wapo wote Kuala lumpa Malesia.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Naanza kuamini maneno ya Rais wa Uganda mzee Mseveni aliyowahi kuyasema kwamba Jeshi la Kenya ni la utaalamu yan mtu anaajiliwa kutokana na utaalamu wake na ni kazi kama kazi nyingine hazizingatii uzalendo wa mtu mmoja mmoja. Tukio linaloendelea Nairobi now ni uthibitisho kuwa Jeshi la Kenya na...
Ishu hii ngumu sana. Lakini kwa mujibu wa sheria kama zile malighaf hazihusian na madawa ya kulevya wapo huru hakuna kes ya kujibu. Lakin ishu ya kusema sijuw Nzowa alikwenda SA na nn SA ni nchi ya SADC sheria inaruhusu kubadilishana maswala ya wafungwa. Kushirikiana katika upelelezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.