Michael Kiswaga
Member
- Sep 3, 2013
- 19
- 7
Familia ya TFF inakutaarifu Bwana/Bib/Prof/Dr/Mh/Mr./Mrs..........
tarehe 20-10-2013 majira ya saa 16:00 jioni maeneo ya Viwanja vya TAIFA kutakuwa na harusi ya Binti yao mpendwa YANGA anaeolewa na bwana harusi Kidume cha mbegu.
** SIMBA FC ** Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu unaombwa kufika bila ya kukosa katika viwanja hivyo au kukaa karibu kwenye Runinga yako. "walisema haolewi mbona ........!!"
Usiwe mchoyo kumpa taarifa hii mwenzio.Kesho mtoto hatumwi Dukani jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums