Michael Kiswaga
Member
- Sep 3, 2013
- 19
- 7
Habar wana JF. Mchana huu nimepita hapa wizara ya Mambo nje na ushikiano wa Kima taifa. Nimekuta kuna hili likiongelewa ofc ya ofisa mmoja alikuwa anaongea na mwenzake. Nataka kujua kama kuna mtu yoyote anajua juu ya hili. Nilipoliskia kwa haraka lilinitisha kidogo baada ya kuona jana. Mwanza na bukoba wanajeshi wamemwagwa isivyokawaida na Mazoez ya ndege mpya hiz za jeshi yanaendelea.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
