bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
ubaya wa TBC kama alivyowahi kusema zitto hawajiendeshi kibiashara wao mishahara yao inatoka kwenye kodi so watangaze habari nzuri au mbaya they dont care wawe watu wanafurahia kuangalia tv yao au hawafurahii they dont care kwani hawalipwi mishahara kutegemea matangazo na ili upatae matangazo inamaana channel yako iwe inapendwa hili ndio tatizo la tasisi za serikali.... wanalipwa kwa kodi zetu si kwa kuzalisha ndio maana taasis nyingi za serikali utendaji wao ni hafifu sana kam si zero!!!