Hiki sasa kichekesho, hicho kitanda kwanza kwa bara bara zetu za vijijini kinaweza kukatika, gharama ya kununua hizo pikipiki ni bora wangenunua haice...hivi mama mjamzito uanze kumvalisha helment kwanza?
Hapo inaonekana waziri anamwambia Dogo acha mambo ya .... Hivi vitu inabidi uvielewe haraka haraka sio lazima mkubwa akuambie..kibarua hutaki?...alafu anajibiwa ... Kibarua nataka sababu Kwanza...watoto wangu watakula nini?Mbili maisha ya starehe kama hivi mazuri
Hayo ndio matokeo yakuendekeza USISIEMU badala ya kuangalia maslahi ya Taifa..Wale jamaa sio wazalendo na ndio maana wakapinga AZIMIO LA ARUSHA wakabariki AZIMIO LA RUSHWA...
Hana jipya anahesabu siku tu...atuachie tanzania yetu...hatuna muda huo vijana wakuendelea kushangaa shangaa mmekula za kutosha..
nawashauri mkubali sasa kabla hasira hazijawa nyingi plus chuki..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.