Picha hii inakupa mtazamo gani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha hii inakupa mtazamo gani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Feb 14, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, January Makamba wakati walipotembelea Bwawa la Mtera kuangalia hali ya uzalishaji wa umeme nchini. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

  MY TAKE:
  Picha inanipa jawabu la kwanini ngeleja amekuwa akisita kumjibu makamba hadharani kuhusiana na barua aliyomhandikia. kila siku mara nimepokea barua sijaisoma, oh mara nitamjibu kwa barua kama alivyoniandikia wakati akijua wazi kuwa haya ni mambo yanayouhusu public.Hapa inaonekana kiana ngeleja akijaribu kumuimbisha kuhusu dowans. watalaamu wa body language naomba mtusaidie.
   
 2. A

  Adoniki Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasubir ya misri tunisia mana alisema tuwalipe dowans ipo siku kama sio yeye basi ni watoto wake au ndugu zake akumbuke sadamu kule iraq nduguze awapo tena duniani
   
 3. F

  Felister JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mi naona kama vile wachezaji wa timu timu moja (Captain na mshambuliaji wake hatari) wakati wa half time wanapanga jinsi watakavyo rudisha goli walilofungwa na timu pinzani na jinsi watakavyo bandika goli lingine la ushindi kabla ya kipenga cha mwisho......Sijui na makengeza?
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  danganya toto kula embe bichi
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  "wewe endelea kunikandia kwenye media, then utachukua ujiko na mimi kama waziri nitatoa majibu yafuatayo ambayo ukijanicheki jioni pale kwa RA tutapanga hii chess game ya kila mtu kujisafisha"
  Deal?
  Yes, Deal!!
   
 6. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  NGELEJA:Unajua dogo sasa hivi kuna deal inakuja. MAKAMBAHio ni moja....sasa si uliona ile barua nilipokuandikia ndio imenipa uenyekiti asante kwa ushauri wako
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  HE WHO BUID ON PIPO BUILDS IN MAD:clap2:
   
 8. m

  maselef JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naona bado mambo yaleyale tu. Kutembelea mabwawa haisadii. Tatizo la umeme haliwezi kumalizika kwa kutembelea mabwawa.
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Picha inatuambia kwamba mambo yaliyoonekana hapo yasiwe gumzo kwingine! Wafichiane siri wasiumbuane!
   
 10. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Vilaza wawili wanatembea..... Japo mmoja ni mwenyekiti wa kamati ya nishati, anajidai sasa hv anauchungu na umeme kuwa janga la kitaifa - lkn nwisho wa siku amesahau alikua mshauri / mwandishi wa hotuba ya JK na kilaza mwenzie akiboronga hivyo hivyo madini/nishati.... Mtazamo wa hapo sana sana wanajipanga watokeje ili wahakikishe mitambo ya DOwans inanunuliwa......
   
 11. m

  mzambia JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  January makamba anamwambia usile peke yako tule wote.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  NI upuuzi mtupu kwa mtu aliyemwandikia barua halafu kuwapa safari moja ni kama njia ya kumtuliza dogo asichonge sana kwani anaweza kuiabisha serikali kuliko ujiko anaoutaka kujijengea, haya ndiyo maona yangu.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  walipokea poshi ya shilingi ngapi?
  anamwambia tulia mazee...usijifanye mjanja kwa kuja na spidi 100! wote tuko chama cha mafisadi...unategemea nini?
   
 14. f

  fadhilih Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanangu hii ni kweli,hapo mtu anakula sound.
   
 15. c

  chetuntu R I P

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Changa la macho wote wako kubehewa moya. Hakuna cha barua wala waraka. Siku yaja!
   
 16. P

  Pokola JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tazama sasa yale yaliyoandikwa na kuhusu nchi ya kufikirika yanatokea hapa.
   
 17. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna mambo matatu nataka nikwambie,la kwanza wananchi wanataka kuandamana kama misri...........................
   
 18. m

  mian Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo inaonekana waziri anamwambia Dogo acha mambo ya .... Hivi vitu inabidi uvielewe haraka haraka sio lazima mkubwa akuambie..kibarua hutaki?...alafu anajibiwa ... Kibarua nataka sababu Kwanza...watoto wangu watakula nini?Mbili maisha ya starehe kama hivi mazuri
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!mkuu mbona unakwenda mbali sana!!
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Januari: "usijali mkuu. zile gelesha tu. mimi nimetumwa kummaliza Sitta na kambi yake. Si unakumbuka ile ishu ya bahasha za lanchi ya milioni? nataka kuonesha umma wa watanzania kwamba Sitta alikuwa anaendesha bunge kwa kugawa bahasha. pia ni mkakati wangu wa kumpoteza kwenye ramani ya siasa za bumbuli bwana shelukindo ambaye alikuwa anaongoza kamati ya nishati na madini".
   
Loading...