Zitto atoa mwongozo wa kauli

Zitto atoa mwongozo wa kauli

taifa hili ilnaongozwa na majini kama hamkuwa mnajua-wewe angalia nchi ambayo viongozi wake wa ngazi ya juu wanakiri hadharani kukubali kulindwa na majini badala ya mungu; ndiyo maana laana juu ya taifa hili ni nzito sana kwa sababu ya makafara mengi sana ambayo viongozi wake wa juu wanatoa kila kukicha-makafara ni pamoja na damu za watanzania kwa maelfu yao kama vile mv bukoba, treni dodoma, hiyo ya jana kwa first lady accident!!!!!!!!!!!!!!!!!laana ikangukia taifa ndiyo utaona haya tunayoona kwamba hata viongozi usiowadhani wanaheuka kuwa hivi muonavyo. Sasa hivi sisiemu imeamua kucheza rafu kila jambo lakini kwa lugha laini ya utawala wa sheria !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwa sababu wanaongozw na shetani baba wa uongo!!!!!!!!!!!!!!!

mtu wa mungu unatuchanganya kidogo. Sijui unashabikia mtu anayeongozwa na roho mtakatifu au mtakakitu au mtaka wake za watu?. Kweli shetani ana wafuasi wengi.
 
Nimemsoma mwanzo mwisho na spika amekubaliana nae. Taratibu watashikishwa adabu ndani ya mjengo.
Spika alishaanza kumkoromea, lakini cha kushangaza baada ya Zitto kuongea, mama akaanza kumfagilia. This mama is very short tempered.
 
Kusema ukweli wabunge wa CCM wanaboa, the bad thing is that they support everything tabled without questioning. I wonder whether the power of party carcus has done it untold mandate of ensuring that MP's support the govt at any cost.
 
Kweli Wabunge muwe serious na Maswala ya Taifa muwapo hapo mjengoni na si yenu binafsi ,Muda wa kujadili mambo ya maana humo ndani ukiisha na sasa mko nje kwa mapumziko ni ruksa na mambo yako binafsi!sawa e!
 
Hawa wabunge wa CCM na mawaziri wake walikalishwa kufundwa kabla ya bunge kuanza... So mnachokiona bungeni ndo walichofundwa... Shida yao sio kudeal na matatizo or maslahi ya Wtz!! No.. wao wamepania kudili na wapinzani basi... tuendelee kufatilia tutaona mengi..
 
:msela:Ukweli karibu 70% ya wabunge wapo bungeni kwa maslahi binafsi hilo tunalijua, kwahiyo si ajabu wakianza ndugu, jamaa na marafikii zao mbele kabla ya speech!
 
:msela:Ukweli karibu 70% ya wabunge wapo bungeni kwa maslahi binafsi hilo tunalijua, kwahiyo si ajabu wakaweka ndugu, jamaa na marafikii yao mbele!
 
Wabunge wachache sana mjegoni wanatumia muda wao vizuri. Waliowengi inashangaza sana, maana utumia muda wao kukejeri na kuzomea wabunge kutoka vyama pinzani. Swali ambalo nimiejiuliza ni hili. Hivi wapiga kula kwa nini manaleta watu kama hawa bungeni? Na majibu ya harakaharaka yakawa hivi:

1) Wengi wao wameingia bungeni kwa mgongo wa CCM and Rushwa zao-hivyo wanajua kujieleza au hawajui sio issue kwa sababu wanakijiji wamekaririshwa kuchagua CCM ili amani iendelee

2) Na hata pale wapiga kura walipojaribu kuchangua vizuri-kura zilibadirishwa na kupewa asiyeweza kuongea

3) Umaskini wa wapiga kura-kielimu na miundombinu mibovu-Ni % ndogo sana ya watanzania wanaona kinachoendelea bungeni. Wangeliona wanayofanya bungeni ikiwa ni pamoja na majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa pamoja na uonevu wa spika kwa baadhi ya Wabunge na hoja zao basi wasingeliwachagua tena.

4) Ubabe wa CCM kukataa midaharo ya uchaguzi na kuhojiwa kwa wagombea wao ili wapimwe uwezo wao.

Solution

1) Elimu kwa wapiga kula juu ya usahihi wa kuchagua viongozi bora/jasiri/na wabunifu ni muhimu sana.

2) Lakini pia mfumo mzima wa uchaguzi na kupatikana viongozi wazuri unaitajika. Kama sivyo tutaendelea kuwa na viongozi (hakiwemo Rais) asiyeweza kujieleza.
 
Hilo Madamu supika kakubaliana nalo
Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama yapo........ Hebu tuone Spika ata fanyaje
 
Kwa mambo kama haya ya kipuuzi puuzi ndio maana tunaachwa nyuma kwa maendeleo na nchi kama Rwanda! Baada ya uchaguzi hawa wabunge na mawaziri si walikuw wanazunguka majimboni kutoa shukrani? sasa kwa nini wanatumia bunge tena kutoa shukrani, eti waziri anasema kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kusimama hapa napenda kwanza nianze kwa pongezi! nyambafu watu tunalala kiza na kutusababishia kuongeza idadi ya watoto ambayo hatukui plan nyie mnaanza kwa kutumiana salamu za valentino!
 
Wamevamiwa na kutekwa akili na majini ya sheikh ambayo sisiemu wameridhia kwamba yamlinde jk, chama chake na serikali yake!!!!!!! Majini hufanya watu kuwa mazezeta na mazuzu ili kuwatawala yatakavyo!!!!!!!!! Wabunge wa sisiemu wewe waangalie kwenye hoja nyeti kwa uhai wa taifa hili-utashangaa wanatetea ufisadi mradi tu CDM wanapinga jambo hilo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UUUUUUUUUUUUUwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
JE kuna tofauti kati ya JINI na Shetani? au vyote ni kitu kimoja?Ninavyofahamu mimi kuna tofauti kubwa sana kati ya jini na shetani,na kitu cha msingi ni kuwa JINI hawezi kufugwa na binadamu hii ni kutokana na ukweli kwamba jini ameumbwa kwa moto na ana sifa zote za moto unazozijua ikiwa ni pamoja na uwezo wa kubadilikabadilika sura kama uuonavyo moto mara mwekundu,njano blue nakadhalika.Vilevile unapaswa kuelewa kwamba binadamu ameumbwa kwa UDONGO na ndio sababu utaona maisha yake kwa sehemu kubwa yanategemea udongo ili aweze kuishi,yaani namaanisha chakula,nguo na malazi hivi vyote vinategemea uwepo wa udongo.
Kwa ziada tu kuna kiumbe kingine kinaitwa MALAIKA,Kiumbe hiki kimeumbwa kwa nuru na vina sifa kem kem ikiwa ni pamoja na kuwa usafi wa hali ya juu kama ilivyo nuru.
Hivyo viumbe vilivyoumbwa na MUNGU ni
1.MALAIKA.
2.MAJINI.
3.WATU.
Kwa minajili ya hayo niliyoyaeleza SHETANI si kiumbe rasmi bali kinatokana na JINI AU MTU.kwakuwa viumbe hivi viwili vimepewa OPTION na MUNGU Aidha vimuabudu au visimuabudu.VINAPOACHA KUMUABUDU MUUNGU MUUMBA ndipo vinapopoteza sifa za uutu au ujini na kuwa MASHETANI.
Hivyo ondoa fikra ya kuwa sheikh anaweza kufuga majini, ni jambo ambalo haliwezekani.'BY the way'siku nikipata nafasi nitakupa Maana ya maneno kama shekhe,ustadh,shekhat,ustadhat,ulamau ili uyafahamu vizuri na usiyatumie vibaya.
 
Kwa kweli wanatupotezea muda wetu na fedha zetu!!
 
Muheshimiwa Spika napenda kuchukua fursa hii kukushukuru wewe binafsi kwa kunipa nafasi hii leo,Napenda nichukue fursa hii adimu kwa mara ya kwanza naongea Kwenye bunge lako tukufu kama waziri wa...........,napenda kumpongeza raisi wetu dakta jakaya mrisho kikwete kwa kuchaguliwa japo sio kwa kishindo ila kwa wingi sana sana kuliko wapinzani wetu,

Muheshimiwa spika nichukue fursa hii kumshukuru mke wangu mama...... kwa ushirikiano alionionyesha wakati wote wa kampeni na hadi kuchaguliwa kuwa mbunge na kuteuliwa na dakta kikwete kuwa waziri,

Muheshimiwa spika napenda niwashukuru wanangu wapendwa sana sana nawapenda sana kwa uvumilivu wao na moyo wa upendo kwangu hasa wakati wa harakati za siasa kwa muda mrefu sikuwepo nyumbani nawashukuru sana

Muheshimiwa spika napenda pia kuwashukuru wabunge wote wa chama tawala na wengine kwa kushirikiana nami siku zote nawaomba tuendelee kushirikiana

Muheshimiwa spika napenda kuwashukuru wananchi wa jimbo langu la................... kwa kunichagua kwa kishindo kikuu ,nawaahidi sitawasahau na nitafanya juhudi kubwa kuwatetea ili waendelee kuchagua ccm

Muheshimiwa spika naomba nijibuswali la muheshimiwa mbunge wa ............. kwa kifupi sana kwani najua muda hauruhusu..................eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

MAMBO NDIO YALIVYOL;
 
Haingii akilini kwani bungeni ni shehemu ya mapenzi? Ingekuwa Kenya kuna radio moja inaitwa CITIZEN wana kipindi chao cha kuumbua wanasiasa pale wanapochemsah bungeni au kuhoji utendaji wao,Bongo nacho kiwepo itakuwa safi sana na wabunge hasa wanasinzia na kuongea pumba kama huyu Nyaulandu sijui Nyaulodu angekiona cha moto na wsingerudia Tena. Kwa wenye ukaribu na redio kubwa kama RFA, au Kiss hata radio One wajaribu kufanya mambo kipindi kama hicho kiwepo cha kuzungumzia utendaji,pumba za wabunge na mawaziri..
 
Hivi hata ile issue ya kutambulisha wageni ni ya Lazima???, au kutoa matangazo ?, kwani hawawezi kutoa matangazo kwenye Notice Board..., This total wastage of Tax Payers Money....

Umenena, hii hunikera sana eti 'naomba kutambua uwepo wa wageni wa mheshimiwa xyz wamekaa jukwaa la wageni paleee juuuu nawaona'.
 
Sasa naanza kumuelewa Mh. Zito si mtu wa utani utani yuko serious wakati mwingine. Kazana brother Tanzania itajengwa na vijana wenye moyo, la sivyo hao wasanii watapoteza muda wetu bure na kodi zetu zitakuwa hazina maana kabisa.

Ameniker sana huyu mtuma salamu mjengoni au kwa kuwa mzee wa STANDARD AND SPEED HAYUPO KITINI?.
 
Huyu Nyalandu si ndiye alisema watanzania wengi wanatumia Simu kwa mawasiliona ya mambo ya mapenzi? Sasa yeye anatumia nafasi ya kujibu swali bungeni kutuma salama za mapenzi kwa mke wake. Ana matatizo huyu


Huyu atakuwa mpuuzi na mpenda mapenzi kuliko wa tz wote nazani ndio maana anajua hata kuwa % kubwa ya mawasiliano kwa wa tz ni ngono oriented maana mchango wake ni mkubwa sana, apeleke upuuzi wake huko co kwny nation issues!
 
Kwa kweli wanatupandisha tu hasira na mambo yao ya kijinga wanayofanya bungeni.
 
Back
Top Bottom