Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

nyamagaro

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
394
101
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni
 
Inabidi waanze kufyata mikia, na hiyo ndo itakuwa kidonda chao. Wakitaka kutugusa tu, tunakatoa ka-range missile. Hadi watakaposalimu amri.
 
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni

ni uamuzi wa busara maana hakawii kuporomosha matusi yule mchaga! bunge lina hadhi yake bwana sasa hayo matusi yake ni bora ayaandike halafu ayasome aone yana sound vipi! TV zinaangaliwa na watoto siku hizi ala!
 
kama ipo ipo tuuu...itakula kwao tu....kwani lema watamfunga mdomo wakati anaweza akafanya press confrnc tu na kutueleza...
 
bao la kisigino hilo:clap2::clap2::laugh::laugh::laugh:

bao la kisigino liko wapi sasa! na hao wabunge wenu vilaza mtakoma mwaka huu! pale sio kijiweni mwendo ni kutunga sheria na kujenga hoja sasa hao kina mr 2 na lema waendelee tu na maneno yao ya kampeni lazima watiwe kamba!
 
Aaa wapi wameshtuka,wataaaibika.
 
ni uamuzi wa busara maana hakawii kuporomosha matusi yule mchaga! bunge lina hadhi yake bwana sasa hayo matusi yake ni bora ayaandike halafu ayasome aone yana sound vipi! TV zinaangaliwa na watoto siku hizi ala!

Hayo unayasema wewe lakini ukwelinikwamba Pinda aka mtolewa kafara alilidanganya bunge na umma wa watanzania. Makinda naye alikurupuka na hasira zake kumpa Lema siku tano ili ajieleze sasa inakula kwenu!! CCM someni alama za nyakati huu sio wakati wa longo longo na siasa za ubabe na kudanganyana!
 
Tungemwomba Lema awaeleze Watanzania kupitia vyombo vya habari ushahidi wake wote alioutoa ili CCM wasije wakachakachua. iweje Pinda alitoa matamko yake live kupitia bunge, halafu Lema aambiwe awasilishe kimaandishi? Wananchi tunahitaji kujua maelezo yake nasi tuyapime, wasije wakamwonea.
 
Naipenda serikali ya JK, yenye vionjo vya Makamba na Makinda naipenda maana hua haichelewi kuweka mambo ya msingi kapuni.
Naipenda ingawa inacheka cheka lakini ipo serious kidikteta.
Naipenda maana huwa mara nyingi hukiri kutokuja yalojiri kitaaani hata kama aliyelizuwa ni mwenzao hapa rejea hotuba ya Raisi siku ya birthday ya chama kongwe, naipenda maana haipo serious hata kidogo kwenye huduma za jamaa na ndio maana JK aliweza ahidi bajaji kwa kina mama wajawazito vijijini.

Naipenda maana ina KWENDA KUFA NA CHAMA LAKE KONGWE MIKONONI MWA MKWERE
 
Hayo unayasema wewe lakini ukwelinikwamba Pinda aka mtolewa kafara alilidanganya bunge na umma wa watanzania. Makinda naye alikurupuka na hasira zake kumpa Lema siku tano ili ajieleze sasa inakula kwenu!! CCM someni alama za nyakati huu sio wakati wa longo longo na siasa za ubabe na kudanganyana!

wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! na inabidi muwatahadhalishe mapema! bungeni si mahali pa matusi na dharau! waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! shame on you CHADEMA kutupelekea wahuni bungeni
 
Haya maamuzi yanamatatizo. Je, speaker atatueleza vipi kuwa Mb aliongopa? Akikaa kimya bila kumpa adhabu Lema tutajua kuwa PM aliongopa, akimuadhibu Lema atapiga kelele kwa nini kaadhibia na matokeo yake tutajua kilichowasilishwa kama utetezi. Hapa naona wame-play delayment tactics na si kuziba ukweli au uongo uliopo ikiwa wamemuagiza awasilishe tuhuma zake.
 
Back
Top Bottom