Chamkoroma
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 186
- 11
Usiogope kabisa mama ya rafiki yangu, chamsingi tafuta aina ya vyakula kama uji wa ulezi, au kahawa hasa kahawa, wakati wa jioni hata nikidogo mwambie nimekutayarishia kinywaji, jaribu hivyo, naamini utafanikiwa, najua mnapenda sn iwe kama wengine mashosti lkn mumeo ni wako ndivyo alivyoumbwa usipende kuwasikiliza hao, mpende sn, mpe kama nilivyokushauri naamini utaona mabadiliko, kahawa ni dawa nzuri.Inawezekana anachoka sana kazini,au stress,vipi wakati mko free kama week end au akiwa holiday?[/
Tukiwa holiday pia hakuna tofauti sana, kitakachochange ni sometimes tunapiga asubuhi na wakati wa mapumziko mchana au hata usiku (ila si mara zote ni sometimes) ingawa wakati mwingine anasafiri wiki/2wks, anaweza kurudi na akawa na hamu kweli kweli, hata mchana ataniita tu, ila ni hilo moja tu, hakuna la zaidi.... na hata nikitumia ushawishi, ataniambia, ngoja nipumzike kidogo, ndo imetoka hiyo.. hadi kesho yake au keshokutwa