Recent content by mhuni

  1. mhuni

    JamiiForums Tanzania Top ya madada wenye Chura za haja hapa JF

    Thread imetembeaa sana
  2. mhuni

    JamiiForums Tanzania Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

    humu wote mnaocomment hamjamuelewaa kauli yake yaan yy kawapga chenga ya mwili kabisa hawana skendo maana yake wote hao wana skendo ya kushika ukuta ila katumia tafsida kuficha ukweli
  3. mhuni

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

    huyo nyerere alikuwa anaona mbali hata angekuwepo leo angesaidia sana
  4. mhuni

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Tujitokeze kwa wingi Sept 1, tuandamane bila kuharibu Mali ya mtu

    lowassa kukamatwa hawawez anaheshimiwa sana
  5. mhuni

    JamiiForums Tanzania Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

    mhhh nzur
  6. mhuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujifungua kwa njia ya upasuaji(Cesarean section) imeongezeka sana siku hizi?

    ahaa balaa wengne uchungu bado lakin anataka mtoto mapema wengne kusukuma mtoto hawawezi kisa wanachezewa TIG....o sana
  7. mhuni

    JamiiForums Tanzania Rose Ndauka hatari sana

    huyo anatoka na mnenguaji wake
  8. mhuni

    JamiiForums Tanzania JJ Mnyika (Mb) hana bei, ni CHADEMA hasa

    mnyika karud sasa
  9. mhuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

    kuhusu habari hii inanikumbusha kuhusu kupata ajali kwa tundaman kumbe kwenye ajali hayupo
  10. mhuni

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosea kujaza fomu HESLB

    unaconfirm vp maana mm nilisave kama kawaid niambie unafanyaje maana sion sehemu kuconfirm
  11. mhuni

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosea kujaza fomu HESLB

    wadau msaada mm information zote kuanzia demographic and contact mpaka primary education nimejaza hata nikifungua information zote zipo lakin naona hakuna tick kama za kwenye personal details ..applicant category
  12. mhuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mistari dadisi: Roma ft Jose & Darasa!

    mhhh umeishika sana mistar kaka
  13. mhuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    hii thread nzur sana
Back
Top Bottom