Recent content by mhina clemency 2020

  1. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Adolf Hitler, kuzaliwa kwake mpaka kifo chake

    Upo correct! ishu ni kwamba niliweka wazi tangu awali ya kuwa ningeilezea kwa ufupi historia ya huyo jamaa kwa kuwa natambua ni ndefu pia nafahamu kuna watu wanaijua zaidi yangu. Lengo langu lilikua ni kuwakumbusha tu wadau wa siasa ya kuwa uchaguzi wa mwaka si kama wa miaka ya nyuma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Adolf Hitler, kuzaliwa kwake mpaka kifo chake

    ''The death of Hitler's father in january 1903 changed everything, the absence of a dominant father figure altered Hitler's position in the family. He spent much of his time playing and dreaming, did poorly in his studies,and left school in 1905. His mother died in 1908, in reality, when...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Adolf Hitler, kuzaliwa kwake mpaka kifo chake

    Habari members wote wa hili jukwaa! kwanza kabisa niungane na wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli na wote waliokumbwa na mshtuko wa ghafla baada ya wanaharakati mashuhuri Dr.W.P.Slaa na mwenzake Prof. Lipumba kustaafu siasa na nyazifa zao ktk vyama vyao kwa ghafla mno na bila kutarajiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nastahili tuzo kwa jinsi ninavyowakwepa wanafunzi wa kike

    Hongera sana mwalimu na kijana mpole! ushauri wangu ujitahidi kutumia ushauri nasaha na elimu rika kwa watoto kama hao watakuheshimu sana.Kuwa mpole unapotakiwa kuwa mpole, kuwa mkali unapotakiwa kuwa mkali na sio jambo jema na la heri kutegemea viboko kwenye karne ya leo kuwarekebisha watoto...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    Kuna utofauti mkubwa sana kati ya walimu wa zamani na walimu wa sasa! Walimu wa sasa wengi sio wa kudanganyika na kutishwa kama watu wengi wanavyodhani. Walimu wa sasa wana uelewa mkubwa wa elimu ya uraia na wakati utakapofika watamchagua mtu mwenye nia ya dhati ya kuwaondolea manung'uniko yao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mustakabari wa kisiasa jimbo la Monduli!

    Ni kweli mdau! ila hofu yangu ni aina ya watu niliowaona kule Monduli kabla ''mzee'' hajakatwa! mwenyeji wangu alisema ni vigumu kumuongelea negatively kwa kuwa anaheshimika sana! na lile jimbo kwa jinsi nilivyoliona kwa wakati ule (miezi 3 iliyopit) upinzani haukua na mizizi kabisa! inavyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mustakabari wa kisiasa jimbo la Monduli!

    Nilibahatika kutembelea wilaya ya Monduli hasa pale Monduli mjini miezi michache iliyopita kabla mchakato wa kumpata mgombea wa ccm haujafanyika.Hali ilikua shwari kabisa na mji wote wa Monduli ulionekana kuelemewa na siasa za chama kimoja(ccm) ambapo niligundua wakazi wengi walionekana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upandishwaji wa madaraja 2015 nini kinaendelea sasa?

    Walimu waendelee tu kuishi kwa matumaini.Hili tatizo ni msiba kwa halmashauri nyingi kama si zote na linawahusu Walimu wote walioajiriwa mwaka 2008 na wale wa 2011 ambao walitakiwa wapande madaraja tangu mwaka wa jana (2014 mwezi december) lakini hadi leo wanazungushwa ilhali hicho kinachoitwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara ya mwaka

    Jambo la msingi ni kuhamasishana watumishi wa serikali wa kada zinazoitwa za chini! hasa walimu kuchukua maamuzi magumu ya kuhakikisha mfumo uliozeeka na kuchoka unabadilishwa kwa kuupigia kura mwaka huu. Ni ukweli mtupu kwa upande wa walimu walionza kazi mwaka 2011 na wale wa 2008 walitakiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bayport ya Ngara ni wezi

    Hii taasisi sasa imekua janga la kitaifa!! kila kona ya nchi ni wao na kesi zote ni za kuwatapeli na kuwabambikia riba za kutisha!! mshukuru mpo kwenye nchi yenye mapungufu makubwa ya utawala bora! mlitakiwa mfilisiwe kitambo sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania To jamii forums members!!

    Thank you Hon. ISLETS!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania To jamii forums members!!

    Thanks to you Sammy!
  13. M

    JamiiForums Tanzania To jamii forums members!!

    Nashukuru sana mdau!! Mungu akubariki!
  14. M

    JamiiForums Tanzania To jamii forums members!!

    Nimejiunga rasmi jamii forums tarehe 04/08/2015! May i come in!
Back
Top Bottom