Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Naona kama nikiendelea kukaa kimya ntakuwa sitimizi wajibu wangu kama mwananchi.
Pale Bayport Ngara kuna vijana wameajiliwa pale wanawachezea wananchi mchezo mbaya sana, wao wanacho kifanya ni mtu akienda kukopa wanakuandikia mkataba lakini sehemu ya hela unayokopa hawajazi kiwango.
Sasa wanachokifanya kwa mfano mtu kakopa millioni mbili, wao wanaandika millioni tano, ile pesa millioni tano ikiwa released watachukua zile milion zako mbili watakupatia na kiwango kilichobaki wanagawana wao.
Kwenye makato utaendelea kukatwa mpaka hiyo million tano itakapo kwisha.
Hii nimeishuhudia live na kuna case mahakamani ya namna hiyo.
Kwenye mahakama ya Wilaya, hao vijana wanatumia advantage ya umasikini wa wananchi na elimu ndogo kuwaibia hawa vijana hawwapi mkataba ama kopi ya mikataba baada ya makubaliano.
Hii inafanywa kwa lengo ili hata ukienda kudai mahakamani hautakuwa na kidhibiti kwenye madai yako.(as far as breach of contract is concerned)
Maombi yangu ni kwa uongozi wa juu wa bayport waingilie kati, wawasaidie hawa wananchi wananyanyasika sana, vipato vyao vyenyewe ni vidogo sana inapotokea mtu akawanyang'anya na hicho kidogo inakuwa sio.