Hakuna muwekezaji hao ni wapigaji walioamuwa kupitia kwenye IGA kila mtu apewa chake sasa IGA imebuma warudishe tu mzigo wa watu hakuna namna maana hakuna anayeona faida za huo mkataba wa kimagumashi. Kwanza tuliambiwa ni makubaliano tu kwanini tusiachane nayo kama makubaliano hayo yanataka...
Kwahiyo wewe umeifamu kwa kusema ndo unaipgia chapua hivi umesikia kuna anayepimga ambaye amesema DPW ni kampuni ya ubabaishaji kwanini usijipe muda kuelewa sababu za kupinga. Mimi najuwa hawapingi uwekesaji wa DPW kama unvopotosha wanapiga vipengele vilivyogo katka IGA kwa kuwa hujaona...
Ni baada ya kuona kura zimekwenda kwa waliyekuwa hawamtegemei ndo kazi imekuwa ngumu labda kuwa na second round maana hiyo margin ilivyokuwa ndogo hakuna uhakika kama kuna wa kupata hata 50%
Ninaimani wote hatujambo.
Nimekuwa nafuatilia kwa karibu sana kuhusu hoja ya matumizi ya kiswahili hapa nchini hadi tumefika hatua baadhi yetu tunatamani kiswahili kitumike katika ngazi zote za utowaji wa elimu.
Sababu kubwa imekuwa watanzania wanafahamu vizuri kiswahili hivyo kuwafundisha kwa...
Ukweli kwamba CDM walikuwa na uwezo wa kumtoa mtu mahabusu usiku na kwenda kuapishwa kuwa mbunge. Sijui watanzania mnawaonaje hivi CDM wanao uwezo huo katika mahabusu zetu mbona wasiwatoe hao wafungwa wao wa kisiasa
Kwahiyo walikuwa wameshafikia hatua ya kutambulishwa kabla chama hakijatoa barua ya utambulisho sasa huko kwenye kuapishwa walikuwa wametambuliwaje. Mambo mengine akiongea mtu mzima yanashangaza sana
Lingekuwa jambo jema kama ingetafutwa 200b badala ya hiyo 100b sijaelewa kwanini serikali haioni kwanini bei ya mafuta Zanzibar ni tofati kabisa na bei ya mafuta Tanganyika, ni vema uthibiti wa bei ungeweka lengo tuwe na bei za kulingana na Zanzibar sababu Zanzibar ni sehemu ya Tanzania...
Kwahiyo jeshi letu la polisi limeshindwa kukamata wahuni waliomshambulia mtu mchana kwenye makazi ya viongozi wa serikali. Mbona kama unataka kuwafanya watanzania wajinga sana. Hivi yule mfanya bishara wa mtwara aliyeuawa yule wahusika wamejulikanaje nayeye hayupo ili ahojiwe. Ni sahihi kiongozi...
Inawezekana wewe ni mmoja wapo wa hicho kikosi kazi, Kwani kama alirudi ndo asiwataje waliomshambulia sababu alirudi akafanya kampeni si alikuwa na ulinzi.
Kwani kuna sheria inayotuhusu Rais kusamehe mtuhumiwa kesi ikiwa inasikilizwa, au unasumbuliwa kiakili na muhemko. Mbowe attachiliwa sababu ushahidi wa michango usiwe za kuthibitisha chochote. Hii aibu sijui Irish’s baada ya miaka mingapi.
Lakini huo uchifu ulifutwa na Nyerere alipokuwa anapambana kuondoa ukabila na akafanikiwa sasa kurudisha uchifu inamaana tunataka kurudisha ukabila na je kwanini sheria iliyofuta uchifu habadilishwi maana ilivyo sasa kufanya kazi za uchifu ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Sasa...
Lakini anaujenga vibaya huo msingi maana ili kuondoa ukabila Nyerere alilazimika kufuta uchifu sasa anapouanzisha maana yake anaanzisha ukabila na anafanya hivyo sababu ndani ya chama chake kuna moto sasa anataka kutambuliwa kiukabila. Hivi hilo neno Chief si limeletwa na wakoloni waliowatumia...
Lakini bila katiba mpya huwezi kuwa na tume huru labda kama hujuwi kwamba tume itatokana na hiyo katiba inayomfanya Rais kuwa dikteta. Kama kuna Rais ambaye katiba imemfanya dikteta atashindwaje kuivuruga hiyo tume hata ikiundwaje.
Mi nashangaa watu wako kimya wakati miaka mitano tulikuwa tunajinasibu kuwa tumetekeleza inamaana ule utekelezaji ulikuwa wakuuzamisha kabisa Uchumi kiasi kwamba sasa tunategemea kodi za uzalendo na parking kweli hii nchi tuliyoambiwa ni dona kantri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.