Kwahiyo hapa Mbwa Mkuu hasa ni nani huko CHADEMA na hao akina Mbwa wengine anaowafuga nao ni akina nani pia?Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Kumbe ku-forge nyaraka siku hizi ni ushujaa? Ni ushujaa wa aina take, una-forge nyaraka, unaingia bungeni, then unaitwa shujaa!Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Mwanamke mwenye miaka 40+ ni binti?Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Niko na wee mkuu mdee kanyagaa twendee vitoto vya juz tu ..maisha Ni Vita pambana mdee Hadi mwishoKusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Tunawashanga sna alfu walitaka kina Nani wawe viti maalumuHalima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Hivi wewe una akili timamu kweli? Hizo dislike za kila post kwenye huu uzi zinatia mashaka. Au ndiyo jamaa yetu mr #dishlimetilt umerudi kivingine?Hapo umeelewa alichoandika. Usingeelewa ungemuuliza
Mbona anang'ang'ana na ubunge usio kuwa halali kama sio mtu wa kuyumbishwaHalima ni shujaa hata hivo tangu chuo ni mwanamke asiyeyumbishwa
Sophia Simba ni mwanaume yule?Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika
Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Ndipo COVID mtajua hamjui🏃🏃Tulia wewe hatutishwi na mbwa tunaowafuga
Mtaani hali mbaya!Mbona anang'ang'ana na ubunge usio kuwa halali kama sio mtu wa kuyumbishwa
Kumbe unajua nilijua Kila kituo hutaki tuu🏃🏃🏃Mtaani hali mbaya!
Shida ni kupenda dezo🚶Kwanini asianzishe chama chake?
Hana akili ila madai yake ya katiba mmeyakubali? Toka lini proposal za kichaa zisikilizwe??Lipumba hajaitwa kuzungumza na raisi?
Mbowe kuitwa haina maana ana akili, raisi ni wa watu wote hadi wendawazimu Kama nyie
Nyinyi ndio mnaowadharau wazazi wenu kwa sababu mmesoma kuliko wao. Na ndio mnaowadharau walimu wenu wa praimari kwa sababu mna vidigriii.Mdee kafundishwa siasa na mbowe? Mdee ni UDSM graduate, mbowe form sjx leaver. Ushaelewa nachomaanisha
Madai ya Katiba ni ya mbowe au wananchi?Hana akili ila madai yake ya katiba mmeyakubali? Toka lini proposal za kichaa zisikilizwe??
Ni hivi pamoja na kelele zenu humu mitandaoni na matusi kuwa Mbowe Gaidi cjui katiba sio muhimu, hamuoni nyie ndio vichaa maana mmepuuzwa na Mwenyekiti wenu.