Recent content by mgweno tajiri

  1. M

    Zao la korosho

    Tupongeze hatua za serkali ndugu ebu angalia nchi ya vcost mpaka sasa wanakorosho maghalan kwao bt serikali yetu inajitahid kuhakikisha zao hili halishuki kama kusudio la watu wachache wanavyotaka
  2. M

    Zao la korosho

    Ninampongeza mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa tz kwa kusimamia na kuwaokoa wakulima wa zao la korosho, kwa kuhakikisha bei haishuki chini ya 3000
  3. M

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Nani mwenye mamlaka ya kukagua vyeti? Au hr utajuaje kuwa iv vyeti ni feki au kinatumiwa n mtu zaidi ya mmoja?
  4. M

    Maoni yako kuhusu Prof.Jay!

    Ww unadhani nini?
  5. M

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    So if mtu una vyet viwili na ktk hivyo vyet una Cheti cha kwanza B - ya kiswahili na D-histry na chet cha pili una D ya histry na english Je itachukuliwa kuwa una pass ya 4 d's?
  6. M

    Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

    Mwambie aje nimpekeke mtwara wilaya y newala kunawataalam wazur wa kumbust kama wanavyobustiwa fulan n fulan
  7. M

    Alikiba atazidi kupitwa kila siku

    Mfate istagram
  8. M

    Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    Huyo TID anaimba nn shoga yule kiba ni kwere ata nitampata wapi iko nyuma...nyie sikilizen vizur nyimbo y kiba...sio domo anachukua nyimbo za msikitin anatuletea kwa bongo flva
  9. M

    Msanii AY azidi kuonyesha mafanikio yake

    Nani amekwambia ni 35m
  10. M

    Afisa mtendaji written interview

    Nipe namba yako mm ni afisa mtendaji
  11. M

    Magaidi Amboni wamewezaje kutoroka bila kukamatwa?

    Fuckn mtoamada hauna kaz y kufanya ww, umekalia umbea tu.....zamani mtu akimuona mtu mgeni mtaan kwake alikua anatoa taarifa polic bt nw koz of udini n uchama hizo mambo zimepotea,
  12. M

    Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

    Kama alijiwekea akiba yake kwa muda wa miaka kumi
  13. M

    Steven Wassira ndani ya fashion

    Ujue nilikuwa ninasikiliza xxxl wakawa wanamwambia adam mchomvu kuwa amekosea kufunga vifingo vya koti...kumbe ili kuwa dogo kwa wassira
Back
Top Bottom