Recent content by mgweno halisi

  1. mgweno halisi

    Saddam Hussein alipewa kesi ya nyuklia akawavamiwa ila North Korea anazo lakini mbona havamiwi

    hata sadam asingekubali kukaguliwa hakuna ambaye angeweza kumpiga.marekan na genge lake niwatu hatari kwa afya ya nch nyingne Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mgweno halisi

    Godbless Lema: Polisi haliwezi kuwakamata watuhumiwa wa mhe. Lissu kwani unaweza kumkamata mkeo kwa kukuzalia watoto?

    mim naamin wanaweza kuwapata ila kama tutaanzia kwa wale walokua wanamfatilia ambao aliwataja hadharani tuanzie hapo.yawezekana wamemfatilia ndo wakampatia dodoma.watusaidie tuujue huo mtandao matukio hayanilazima yafike mwisho sasa.tunataka tanzania salama.niushauritu.nisijeambiwa nachochea au...
  3. mgweno halisi

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    nasubiri ukikosa na hapa utakuja na vigezo gani tena . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mgweno halisi

    Raila Odinga ana hoja,Tume imeteleza. Fomu 34A na 34B zipo kisheria

    africa bado sana kwa democrasia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mgweno halisi

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    hii nch sasahivi kila MTU anatafta Kik. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mgweno halisi

    Tujuzane Remote Cell Phone Tracker and Spy

    Ukipata hii kitu unijulishe mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mgweno halisi

    Mwanamke chezea pesa, mshahara, mali hata kazi chezea ila usicheze na umri(muda)

    Kuna kitu nimejifunza hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mgweno halisi

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Sikudhan mosh ugweno Kimbara mosh usangi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mgweno halisi

    Ni wapi usalama wa taifa unafanya kazi yake na ni wapi unafanya siasa

    Naogopa kuja kuhojiwa kwanin nimeunga mkono kauli ya mleta mada.maana hawana simile Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mgweno halisi

    Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    Sio tapeli ametoa hoja zake zinahtaji elim sana kuzijibu.nikweli quran inatambua nabii eliya hakufa alibaki Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
  11. mgweno halisi

    Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    Bakwata ni ukafiri mojakwamoja.hoja i issa kujiita mtume haitoi nafasi ya bakwata kuwapa kazi polisi kumshughulikia shekh issa.quran haikubalian na kuongozwa na na au kuhukumiwa kwasheria hizi.pili hoja ya issa walitakiwa mashekh wakae wafanye shura nae kulijadili kwa hoja.huo ndio uislam.tatu...
  12. mgweno halisi

    Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    Kwanza rekebisha taarifa yako.mtume sio allah. Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
  13. mgweno halisi

    Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Mkuu wa wilaya amekua hakimu ? Sheria imezuia mtu kukaa polis zaidi ya saa 24 bila kufika mahakamani
  14. mgweno halisi

    Wingi wa rocket angani kuna nini?

    Nikweli zinapita isivyo kawaida.acha zile za kijesh zinazopita katika anga LA dar nakibiti
  15. mgweno halisi

    Kiwanja kinauzwa Chanika mwisho

    Kama badokipo nicheki broo
Back
Top Bottom