Tujuzane Remote Cell Phone Tracker and Spy

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,480
Naomba kwa wale wapekuzi wazuri wa mitandao na wafuatiliaji wa habari kuhusu ku spy simu ya mpenzi wako rafiki au mtoto wako kwa kutumia computer na anae jua software yoyote ile ambayo iko poa hata katika ku track mtu tujuzane plz.
 
utakufa bure kwa presha, wanawake sio viumbe vya kuchunguzwa hasa mawasiliano
 
Naomba kwa wale wapekuzi wazuri wa mitandao na wafuatiliaji wa habari kuhusu ku spy simu ya mpenzi wako rafiki au mtoto wako kwa kutumia computer na anae jua software yoyote ile ambayo iko poa hata katika ku track mtu tujuzane plz.

Sasa umtrack rafiki yako ili iweje? Wewe ni mwizi?
 
Naomba kwa wale wapekuzi wazuri wa mitandao na wafuatiliaji wa habari kuhusu ku spy simu ya mpenzi wako rafiki au mtoto wako kwa kutumia computer na anae jua software yoyote ile ambayo iko poa hata katika ku track mtu tujuzane plz.

HILI OMBI HALIKUPATA MAJIBU,KAMA YUPO ANAYEJUA AWEKA HAPA TAFADHALI,HATA KAMA NI APPS ZA KULIPIA,KIJANA WANGU CHUO NAOANA ANANIZINGUA ISIJE KUA ASHAOA MIMI NATUNZA SIJUI.
 
hahahahaa iko moja mkuu nimepata sema lazima uweke app kwenye simu yake lazima kisha ndo inafanya kazi ni nzuri kweli nime test iko poa yani victim anakuwa hajuii chochote
 
Inaitwaje hiyo APP?
 
Inaitwaje hiyo APP?
Usijitafutie presha kijana. Ni hatari sana zaidi ya hatari. Kuna mmoja niliitumia kwa manzi fulani hivi alinipa simu nimchajie ni balaa. Calls, text, video, photos, location n.k unaona vyote hata screenshot inapiga. Hizi zinafanya kazi kwenye simu za android. Cha muhimu uwe na active email, bundle la internet na simu ya mhusika (angalau dk 5)
N.B
Udukuzi haurusiwi popote pale.
 
Niko tayari nipe hiyo app
 
Back
Top Bottom