Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

Mmesahau Shambalai ngoma ilikuwa inatoka kwa wasambaa Lushoto!kuna Basi lilikuwa linaitwa The Big Mayai mnikumbushe lilikuwa la mkoa au town bus
 
Kiswele....Dar - Songea
 

Attachments

  • 12965806_949608958487857_1953575066_n.jpg
    12965806_949608958487857_1953575066_n.jpg
    30.6 KB · Views: 120
Amini Mungu Safarini,hii kampuni ya mabasi mmiliki aligoma kuyapeleka katika vita vya kagera kubeba askari,

Nyerere akamzuia kuagiza basi lingine lolote tena,lilipokufa,basi na kampuni ikafa
 
Back
Top Bottom