Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,998
Ata siyo dharau mkuu..ki ukweli hayo mamillion Mie sina thats why naombea kifike laki na nusu bcoz ndio uwezo wangu mkuu.Acha dharau basi. Watu tulijipinda tukanunua
Ata siyo dharau mkuu..ki ukweli hayo mamillion Mie sina thats why naombea kifike laki na nusu bcoz ndio uwezo wangu mkuu.Acha dharau basi. Watu tulijipinda tukanunua
Itafika Tu mkuu...ngoja ngosha azidi kukaza kwanza.Sawa mkuu nimekuelewa. Ila hiyo ni ngumu kumeza
Kama badokipo nicheki brooKipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 6 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 3,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 6.5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379
dalali kivipi we si umenipata mimi uku jf?au ww ndo dalali?Naitamani sana hiyo lakini nitakuwa nimeuza 4.5 maana dalali anataka hiyo laki tano
Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
Ushafanikiwa mkuu kupata cha 5m... Kama bado nitafute nauza changu kwa iyo beimkuu kwa sasa pesa imekua ngum sana ndo maana imekua hivyo,5m unaeza kupata mteja nikiwemo ata mimj
Sent from my SM-G925T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ndugu yako alikupa password yake?Yap ni kweli hizi thread tulianzisha Mimi na ndugu yangu so wakati na update nikajikuta nimeingia kwa Diaryjr lakini usijali kiwanja ni hichi kimoja. Karibu mkuu tufanye biashara Nina shida kweli ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379
NANI DALALI NA NANI MMILIKI HALALI?Okay nilishaedit tayari na wote tunauza kiwanja kimoja. Lengo ni kuongeza nguvu ili tuweze kuuza mapema zaidi. Angalia mwanzo wa thread utagundua kuwa bei imeshuka tayari. Samahani na asante kwa ushauri