imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Unaweza kuta huyu ni mwalimu.Hizo ni ndege za abilia zinazo toka nara moja kwenda bara lingine tena ni kubwa mno hata tz inawezekana ikashindwa kutua kutokana na udogo wa viwanja vyetu
Unaweza kuta huyu ni mwalimu.Hizo ni ndege za abilia zinazo toka nara moja kwenda bara lingine tena ni kubwa mno hata tz inawezekana ikashindwa kutua kutokana na udogo wa viwanja vyetu
siyo Rocket mkuu hizo ni ndege kubwa tu za Masafa ya mbali ambazo zinapita anga la juu sanaKila siku hizi zinapita rocket kwenye anga.kuna project kubwa zimeongezeka zinahusu nini?
ni ndege za abiria ambazo hazitui hapa bongo wala nchi za jirani na hapa ndomana zinapita juu sana... ni mfano wa Fly emirates, klm, au qatar airways hizi pia zina uwezo wa kupita international airspaceSidhani kama zile ni ndege za abiria.. Kwa umbali ule mpaka hazionekani unaona moshi tu.. Haiwez kuwa imebeba abiria
ni aina ya hizo ziliidingua Malaysia airline kule Ukraine futi 30000 juu, nadhani zina heat seeking missileGood answer, na zinapita kwa kuomba kama nchi hakuna ulinzi wa anga wanajipitia tu bila kuomba, chombo cha ulinzi wa anga angalia hiyo Avatar yangu kitu hiki kinaitwa S 500 ni cha Mrusi hatari sana NATO hawasogelei anga lako ukiwa nacho.
yah nasikia ukiwa huko space force ndogo tu aidha umejupush wewe mwenyewe against something unaondoka moja kwa moja unapotelea kwenye space unakuwa floating object kama vimondo huko juu unaelea forever bila mwishohapa duniani mbwembwe zote zile ni kwaajili ya kitu inaitwa escape velocity unajua dunia ina vuta vitu toward its centre of gravity so ili utoke nje ya anga la dunia lazima uwe na nguvu ya ziada kwenda against na mvuto wa dunia hivyo ukishatoka outside anga ladunia hautaji tena zile mbwembwe kwani gravity itakua equal to zero......Nb sijasoma phisics but kama hujaelewa unaweza kuuliza nami nitakupa kile nikijuacho
Sidhani kama zile ni ndege za abiria.. Kwa umbali ule mpaka hazionekani unaona moshi tu.. Haiwez kuwa imebeba abiria
Ule sio moshiHizo ni ndege za abilia zinazo toka nara moja kwenda bara lingine tena ni kubwa mno hata tz inawezekana ikashindwa kutua kutokana na udogo wa viwanja vyetu huo mstali unao uona ni moshi unao toka kwenye injini kusabu ukipanda juusana huwa hakuna upepo kwa hiyo moshi huwa hausambai haraka kutokana na hali ya huko angani
Du upo vizuriMkuu zile sio rocket ni ndege za abiria na za kimataifa hapa mwanza zinapita juu Sana katika anga la kimataifa ambalo kule juu kuna baridi Sana sasa zile engine za ndege ni za jet zinapovuta upepo kutoka mbele zikapita kwenye propeller na kutokea upande wa pili zinatoa mvuke ambao ndo tunauona then wananchi mnasema ni Rocket ,sio kweli rocket ni za kwenda anga za juu zinarukia China ,America ,Europe na Urusi direct to the space
Tena Mwl wa kiswahili darasa la 3Unaweza kuta huyu ni mwalimu.
kama sio Moshi itakuwa Arusha.Ila ni nini kama sio moshi
Nyinyi ndiyo mlikuwa mkituaminisha senene zinatoke mbinguniKila siku hizi zinapita rocket kwenye anga.kuna project kubwa zimeongezeka zinahusu nini?

" barabaravya morogoro road. " Nd'o nini hiyo?!!Jamaa ana point mnambeza bure, kuna drons ziko angani mida ya usiku hasa barabara ya morogoro road, inawezekana kuna tafiti au project fulani hasa usiku rahisi kuziona nadhani ndiyo anacho ulizia. Msaidien msimcrash