Recent content by mgungani

  1. M

    Car4Sale Gari ya biashara inauzwa, bei sawa na bure

    Dala dala ipo vizuri, namba D. Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti. Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia. Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.
  2. M

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Hivi unajua hata mkandarasi wa SGR na Stigler gorge amepatikana kwa mchakato tuliofanya watu wa procurement?
  3. M

    Biashara ya swimming pool mtaani

    Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe. Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi wenye uzoefu wa kujenga, makisio ya chini kuweza kujenga la kawaida uswahilini. Sehemu ya kujenga...
  4. M

    Mwanangu katishwa na wenzake kwamba atafeli

    Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu. Je, kuna ukweli kwenye hili naona ka panic. Wazoefu...
  5. M

    TANESCO mpya inastahili pongezi

    Fundi aliyenibadilishia mita alinikuta home jana.baada ya kuongea nae sana kakiri kabisa huduma ni bora mno kwa wateja kwa sasa.ila wao hali imekuwa ngumu kwa kuwa ule ujanja wa zamani haupo.vishoka haki imekuwa mbaya mno hawana kazi tena.huko nyuma ulikuwa huwezi kupata huduma yeyote bila...
  6. M

    TANESCO mpya inastahili pongezi

    Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa...
  7. M

    Jinsi ya kupata kadi ya gari iliyopotea

    Nimepoteza kadi origional ya gari yangu. Wadau naomba kujua jinsi ya kupata copy na gharama zake
  8. M

    Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu matumizi ya Tozo nimeridhika kabisa kutoka moyoni na ninaunga mkono kabisa tozo

    Miundo mbinu nchi nzima.vituo vya afya vinajengwa.madarasa.vifaa vya hospitali.mikopo elimu ya juu.elimu bure.ruzuku ya mbolea.skimu za uzalishaji kupunguza tatizo la ajira.St scan.mri na vifaa nyeti hospitalini nakiri kabisa tozo ni sahihi kabisa. Hayo yote yakifanyika baada ya muda mfupi nchi...
  9. M

    TCU kuna shida gani?

    mtoto yupo JKT
  10. M

    TCU kuna shida gani?

    Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa. Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini. Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way...
  11. M

    Gharama ya kusafirisha gari

    Nimenunua gari DSM harria ya mwaka 2003. Naomba kujua gharama ya kusafirisha kwenda Mwanza. Mafuta lita ngapi? Dereva analipwa bei gani kulipeleka Mwanza. Ipi rahisi kuliendesha au kulipakia kwenye fuso? Dereva mwenye uzoefu anipigie nimpe hiyo tenda. Je, kuna uwezekano wa kupata abiria wa...
  12. M

    Msaada wa haraka

    Kuna tapeli kajifanya ananunua gari yangu, nikampa jina kamili na namba ya akaunti halafu kapotea. Akaunt ina pesa nyingi. Je, kuna uwezekano akatoa pesa? Wajuzi tusaidie la kufanya
  13. M

    Changamoto ya usafiri; Bora mabasi yote yapakie na kushusha abiria Stendi ya Magufuli

    Changamoto nilizokutana nazo leo bora magari yote yapakie stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi. Nimepanda gari ya Ester Kitunda saa 10.20 nikashushwa River Side. Nikapandishwa basi jingine kutoka Buza nikashushwa magari saba usiku. Hapo magari saba hakuna choo wala kiti. Nikasubiri hapo mpaka...
  14. M

    Kunani RITA?

    kuna ambao imekubali kuhakiki?
  15. M

    Kunani RITA?

    Tunashindwa kupata mrejesho wa uhakiki wa vyeti ili kuendelea kuomba mikopo. Mbona hatupewi mrejesho wa uhakiki? Je, huwa inachukua muda gani? Je, tuendelee kusubiri mpaka lini? Dawati la mikopo lipo wazi mpaka lini? Mimi nimehakiki tangu 28.7.2022 sijapata uhakiki. Je, niendelee kusubiri?
Back
Top Bottom