Kunani RITA?

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Tunashindwa kupata mrejesho wa uhakiki wa vyeti ili kuendelea kuomba mikopo. Mbona hatupewi mrejesho wa uhakiki? Je, huwa inachukua muda gani?

Je, tuendelee kusubiri mpaka lini? Dawati la mikopo lipo wazi mpaka lini? Mimi nimehakiki tangu 28.7.2022 sijapata uhakiki. Je, niendelee kusubiri?
 
Back
Top Bottom