TANESCO mpya inastahili pongezi

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa umeme.zile habari za kibabaishaji mara hakuna mita.mara hakuna nguzo.mara savea hana usafiri imekuwa historia.bajaji za tansco zinafuata wateja hakuna tena ile kero ya changia mafuta mara nauli nk.kwa ufanisi huu mlio onyesha naona Tanesco inakwenda kuwa moja ya mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa karibuni.shirika sasa linaendeshwa kisasa yaani kidigitali zaidi
 
Ndugu mteja!

Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu

Ahsante Sana, JANM
 
Acha hizo sifa za kijinga Makamba
 
Ndugu mteja!

Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu

Ahsante Sana, JANM
Mjibu na kwenye thread yenu
 
Eti wanasema mmejianzishia uzi wa kujisifu , hii ID ni yako mkuu
 
Juzi wameniwekea MITA MPYA.
Imewaka baada ya siku mbili ikasumbua umeme ukawa hauwaki.

Nikatoa lalamiko langu kwenye APPS YAO YA NIKONEKTI baada ya ROBO SAA umeme ukawaka.

Ila jambo walilonifurahisha mimi binafsi ni lile la kutokwenda mara kwa mara katika ofisi za na kila kitu kufanya mwenye nyumbani(MAOMBI)
 
Fundi aliyenibadilishia mita alinikuta home jana.baada ya kuongea nae sana kakiri kabisa huduma ni bora mno kwa wateja kwa sasa.ila wao hali imekuwa ngumu kwa kuwa ule ujanja wa zamani haupo.vishoka haki imekuwa mbaya mno hawana kazi tena.huko nyuma ulikuwa huwezi kupata huduma yeyote bila rushwa.haya ni mafanikio makubwa sana.

ukiona watu wanaopinga pinga humu ni wale pinga kila kitu na sizani kama wamewahi hata kujenga nyumba.nchi hii kwa sasa teknolojia imerahisisha sana mambo.

Kwa urahisi wa teknolojia nilimwombea kijana wangu chuo online.kwa kuwa simu ilikuwa na pesa nikawa najaribu kama vyuo kumi hivi.thanks God kapata vyuo sita na amerudi jeshini amecomfirm the his choice.

Thanks uses of technology Tanzania

Thanks Makamba na Marahage Chande Tanesco for innovation.keep it up we are togegher and all good citizen appreciate your efforts.

Good citizen from Kitunda DSM
 
Ukiita wanaitika

Kibarua kimebakia kwa polisi
 
Hii app ya nikonekti imetengenezwa kwa pesa nyingi zaidi ya zile za Ruge na Singh, ufanyaji wake kazi ni ovyo, imefeli tayari!

$30m na zenyewe zimekwenda.
 
Ndugu mteja!

Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu

Ahsante Sana, JANM
Eti kwa kuchagua huduma zetu kwani kuna kampuni nyingine ya mbadala badala ya Tanesco ambayo mtu anaweza kuchagua kwa hiari yake?
 
Ni kweli kuna fundi mmoja aliniambia kwasasa uki apply ndani ya week ushapewa control number! Endeleeni hivyo hivyo,ilikuwa inasikitisha sana mtu una apply umeme kupata control number inaweza kuchukua miezi 8.
 
Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa umeme.zile habari za kibabaishaji mara hakuna mita.mara hakuna nguzo.mara savea hana usafiri imekuwa historia.bajaji za tansco zinafuata wateja hakuna tena ile kero ya changia mafuta mara nauli nk.kwa ufanisi huu mlio onyesha naona Tanesco inakwenda kuwa moja ya mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa karibuni.shirika sasa linaendeshwa kisasa yaani kidigitali zaidi
Sasa bidii yote hiyo halafu umeme ni wa mgao. Mbona hii kali.
 
TANESCO Wakitenda vema watasifiwa, ila waboronga watasemwa tu.
Nami nawasifu kitengo cha service lines mpya cha TANESCO Dodoma. Ndani ya Siku nne (4) line imepimwa, kujengwa, kuunga na kuwasha umeme.

Ila kitengo cha dharura cha TANESCO Arusha, mhhh! Bado kuna kazi !!!!
 
Back
Top Bottom