Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu matumizi ya Tozo nimeridhika kabisa kutoka moyoni na ninaunga mkono kabisa tozo

mgungani

Member
May 13, 2022
38
56
Miundo mbinu nchi nzima.vituo vya afya vinajengwa.madarasa.vifaa vya hospitali.mikopo elimu ya juu.elimu bure.ruzuku ya mbolea.skimu za uzalishaji kupunguza tatizo la ajira.St scan.mri na vifaa nyeti hospitalini nakiri kabisa tozo ni sahihi kabisa.

Hayo yote yakifanyika baada ya muda mfupi nchi yetu itapiga maendeleo sana na wananchi tutapata unafuu sana.

Tuombe mungu vita ya ukren imalizike mafuta yapungue bei vitu vipungue bei pia.

Hata nchi zilizoendelea kuna kipindi walijifunga mkanda kwa muda kutimiza malengo kama yetu.

Naafiki nia njema ya serikali kuwaletea maendeleo watu wake na naamini kabisa muda si mrefu tutaona na kufurahia matunda ya tozo
 
kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,560
2,744
Naunga mkono hoja kama ni kejeri lakini.

Ila kama ni tofauti hujachelewa nenda ukatibiwe malaria kabla haijaathiri sana ubongo.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
18,620
51,452
Miundo mbinu nchi nzima.vituo vya afya vinajengwa.madarasa.vifaa vya hospitali.mikopo elimu ya juu.elimu bure.ruzuku ya mbolea.skimu za uzalishaji kupunguza tatizo la ajira.St scan.mri na vifaa nyeti hospitalini nakiri kabisa tozo ni sahihi kabisa.

Hayo yote yakifanyika baada ya muda mfupi nchi yetu itapiga maendeleo sana na wananchi tutapata unafuu sana.

Tuombe mungu vita ya ukren imalizike mafuta yapungue bei vitu vipungue bei pia.

Hata nchi zilizoendelea kuna kipindi walijifunga mkanda kwa muda kutimiza malengo kama yetu.

Naafiki nia njema ya serikali kuwaletea maendeleo watu wake na naamini kabisa muda si mrefu tutaona na kufurahia matunda ya tozo
Kwa hiyo kama wewe umeridhika, sisi inatuhusu nini?
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom