Jinsi ya kupata kadi ya gari iliyopotea

Jinsi ya kupata kadi ya gari iliyopotea

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
61
Nimepoteza kadi origional ya gari yangu. Wadau naomba kujua jinsi ya kupata copy na gharama zake
 
Nenda TRA ukiwa na vitambulisho vyako, Watukupa mwongozo, na utapatiwa kadi nyingine. maana wanapotoa card, hubaki data kwenye mtandao.
 
Back
Top Bottom