Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

1657106080903.jpg

UMEPIGWA
 
kuna tapeli kajifanya ananunua gari yangu.nikampa jina kamili na namba ya akaunt halafu kapotea.akaunt ina pesa nyingi.kuna uwezekano akatoa pesa?wajuzi tusaidie la kufanya
Anatoaje bila neno la siri mkuu?!!
 
Ingekuwa hivo taasisi ambazo account zao ziko wazi kila mahali si zingekuwa zinapigwa daily.
Account namba yako sio siri wala jina lako sio siri labda jf
 
Kama kafanikiwa kuishika atm card yako ata Kama unayo ,subiri kupigwa na kitu kizito.
Relax mkuu hawezi kutoa chochote
 
kuna tapeli kajifanya ananunua gari yangu.nikampa jina kamili na namba ya akaunt halafu kapotea.akaunt ina pesa nyingi.kuna uwezekano akatoa pesa?wajuzi tusaidie la kufanya
Aisee lazima aende kuiba tena ana akaunti namba yako, andika maumivu. Ngoja nikupe namba yake ya simu 0658154533
 
Hilo swali sio la kuulizwa na mtu mwenye pesa nyingi bank
Niseme tu hawezi kutoa labda Kama umempa tarifa zingine ambazo hujatwambia
 
enheee,, lelo yeye
ngoja nione kama Jf kuna wafanyakazi wa benki
 
kuna tapeli kajifanya ananunua gari yangu.nikampa jina kamili na namba ya akaunt halafu kapotea.akaunt ina pesa nyingi.kuna uwezekano akatoa pesa?wajuzi tusaidie la kufanya
Naomba hata jero bhana🤕
 
Back
Top Bottom