Mwanangu katishwa na wenzake kwamba atafeli

Mwanangu katishwa na wenzake kwamba atafeli

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
61
Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.

Je, kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.

Wazoefu mtujuze.usikute ni ile tabia ya watanzania kukwamishana.ndio maana hatuendelei.

Badala ya kutiana moyo na kuhamasishana sisi tunakwazana.
 
Sasa mwanao nae anaogopa Nini? Angewajibu tu yeye atakuwa kati ya hao 50 ambao Huwa wanafaulu.
 
Mwambie aanze kujiamini yeye kama yeye hadi kufika hapo alipo kwenye mitihani alikua alone hivyo na kwenye course hio atajipambania alone kati ya hao 50 nae atakuwemo.
 
Hao ni wachoyo tu. Kama wanasema atafeli mbona wao bado wapo?
 
Mwanangu kachaguliwa NIT.DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION.jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu...
Sio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics, programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha hava cover vitu vingi,asiogope akomae
 
Dogo aache woga mwambie katika wale 50 na yeye ataongeza namba watakua 51
 
Wakati nasoma ukitaka nifaulu basi anzisha ligi...ukitaka nifeli pasiwe na ligi
 
Sio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics,programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha haha cover vitu vingi,asiogope akomae
Course nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.
 
au atajikuta ana supp za kutosha dawa NI kuwa active kuanzia wiki ya kwanza Hadi mitihani itakapoisha,asiogope
Sio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics,programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha haha cover vitu vingi,asiogope akomae
K
Course nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.

Course nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.
Ugumu wa course inategemea vitu vingi ikiwemo 1)Idadi ya module kwa semester 2)Idadi ya content kwa kila module 3)Wingi wa content kwa kila module
4)Ugumu wa content kwa kila module.
5)N.k
Ili ubaini hayo unaweza fanya utafiti mdogo kuona vitu hivyo utaona utofauti baina ya kozi na kozi.

Wakati nasoma nilikuwa nashea hostel na jamaa wa kozi flani nikabaini hayo mambo.
wanakaa wanasolve basic mathematics wanatumia Muda mrefu wanafanya discussion...
...
Wakati huo mie nasolve Engineering mathematics,wananipa maswali ninawaelekeza Kisha naendelea na maswali yangu.

Unaweza pitia prospectus ya chuo husika kubaini kubaini kozi ipi Ina content nyingi na ipi Ina content chache
 
Mwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.

Je kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.

Wazoefu mtujuze.usikute ni ile tabia ya watanzania kukwamishana.ndio maana hatuendelei.

Badala ya kutiana moyo na kuhamasishana sisi tunakwazana.
Mwambie afanye jitihada awe miongoni mwa hao 50. Mwambie ajiamini
 
Hakunaga watu wanaokatishaga tamaa kama wabongo na kumbuka kipindi flani huko nyuma nilikosa credit 2 za kwenda form 5 kutokana na familia yangu kuniona nina kamwili kadogo wakataka nirudie form 2 nikakataa nikawaambia kuliko kurudia form 2 na umri unaenda ni bora nikaresit aisee na kipindi hiko kila mtu ukimuuliza anakwambia hutoboi kuresit ni ngumu sana watu wanarudia mpaka mara nne huko na hawapati credit nikasema ngoja niende kujionea mwenyewe nikaingia mzigoni nilichojionea aiseee mambo kwa ground ni different kabisa nilitoboa na credt zangu 3 kati ya mbili nilizokuwa natafuta kwenye masomo ma5 niliyochukua A,B+,C nikaendelea zangu na five kiulaini tu

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Elimu ya bongo kukomoana tu. Eti kufelisha ndio ubora wa elimu.
 
Back
Top Bottom