Recent content by mgongo mtii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za akina dada kuwalia hela wanaume

    Simu kitu gani bhana bado magari na nyumba zinahongwa! Itakuwa cm? ?? Usiseme tunakufa sema nakufa!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya mashirika ya dini kuhusu baa la njaa

    Inabidi na mamlaka ya hali y hewa ifungwe kwa kutangaza ukame maana kutangaza ukame kunaendana na kutangaza njaa!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu anapenda maisha ya matawi ya juu

    Kama utakuwa mtafiti kuna humu hawapendi kusikia mafanikio ya wenzao japo yanakuja katika hali ya changamoto, hivyo mtu akiona katika upande wa mafanikio roho yake yakorosho inapata moto na kulipuka ndio unaanza kuona maneno kama : wewe nimtunzi mzuri, acha uongo na maneno yanayofanana na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

    Bangi tu tupu zunakusumbua huna ki ngine karibu kumuuliza aliyekupa bangi atakua anakumbuka jina lako. Vinginevyo ushaanza kuwa taahira so usisumbuke sana maana hata ukikumbushwa halina maana tena.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unashangilia mwaka mpya unashangilia kulisogelea kaburi

    Kila aliyezaliwa na mwanamke sharti afe, ushangilie usishangilie kufa kupo palepale, ila kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu maana wapo waliokufa punde tu baada ya kuzaliwa, na wengine wanateseka na maradhi hospitalini na hata hawajui mwaka umeisha maana hauna maana kwao kwa maumivu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako amvaa Makonda

    Mbona zilizopandisha ada sio hiyo pekeyake?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Shida inakuja kwa cc binadamu tatizo la kiroho tunatibu kimwili na la kimwili tunatibu kiroho, nenda hospt kwa mabingwa wa magonjwa ya ngozi baada ya hapo fuata hatua nyingine japo kuokoka sio vibaya kama hujaokoka lakini tunalenga tatizo sio kuzunguka tatizo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yafungua Ubalozi Tanzania

    Atujiurizi! ! ?????, kiswahili hujui na unachohoji hukijui kujenga hoja hujui, taabu tupu.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TPDF ranks position 27 in the World!

    Zimbabwe kuwa juu! Mhh utata! !
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wastara asaini mkataba mnono wa zaidi ya Tshs Milioni 400

    Ndio mana kaolewa mara nyingi sababu ya tabia nzuri. Kama angekua na mbaya angeolewa mara moja tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya photocopy canon ir 2016

    Ni mpya au used? Alafu kwa muono wangu ipo juu sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa jiji la Arusha adaiwa kufanya ubadhirifu wa milioni 500

    Acha kukurupuka hata mitihani mnakula zero kwa kukurupuka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Lipumba vs Maalim Seif

    Hamna cha maana!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante mama nimekuelewa, samahani sana Irene wangu

    Nadhani haupo serious. Swala la kuoa ni swala binafs sana kuliko la kifamilia huyo mke.sio wa mamaako na ataishi na wewe sio mamaako so jifikirie mara 2 kwa hilo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki TPA: Wafanyakazi 600 kuachishwa kazi

    Elimu afya wameshaanza na ilala zoezi hilo limaendelea so usifikiri ni eti ni bandari tu.
Back
Top Bottom