Asante Dr. we love you,tunakuombea kwa Mungu aliyehai uwe mzima,afya tele na akutetee popote utakapokuwa. Unajua haki uinua Taifa,so simamia haki Dr ili taifa letu liinuke na Mungu atakutete pia.Na hayo ni maamuzi mazuri ya kufanya utafiti wakutosha before kutoa tamko ,tunasubiri kwa hamu tamko...