Dk. Slaa: UCHAGUZI WIZI MTUPU

Dk. Slaa: UCHAGUZI WIZI MTUPU

Hawa mafala tunakaa kimya wanajiona mashujaa, eti wanapiga mabomu kutuliza na kuleta amani. Amani haiji kwa kumdhurumu mtu. mi naamini kama utawala wa jinsi hii ukiendelea, hata Rwanda haitakuwa mfano. Zikipigwa hawa mafala wa kutuliza ghasia wanadhani watamudu watanzania walio jaa hasira wanaopigania kundi la waporaji?
 
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.

Mh.Dr. Slaa... Nimefurahi sana kusikia toka kwako... Maana nilikuwa na presha sana hasa ulipoahirisha mkutano wako na waandishi wa habari, tukahisi kama vile kuna kitu kinaendelea ambacho kinataka kukunyamazisha...Hakika umeongea maneno ya busara sana,tupo nyuma yenu kuendeleza ukombozi wa Watanzania...
 
Asante Dr. we love you,tunakuombea kwa Mungu aliyehai uwe mzima,afya tele na akutetee popote utakapokuwa. Unajua haki uinua Taifa,so simamia haki Dr ili taifa letu liinuke na Mungu atakutete pia.Na hayo ni maamuzi mazuri ya kufanya utafiti wakutosha before kutoa tamko ,tunasubiri kwa hamu tamko hilo na tuko nyuma yenu Mungu mbariki na mlinde slaa,Tanzania na chadema.
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.
 
Kukaa muda mrefu kwa viongozi wetu bila kutoa tamko kunapunguza ari ya wanachama wenu, hadi mkija kuongea hili vuguvugu la uchaguzi litakuwa limekwisha
 
Isitoshe watanzania ni watu wakuzoea mambo.....
 
hii ni vita ya binadamu na mafisi na mambweha. Mungu aliumba watu watawale wanyama lakini bongo mafisi yanatawala wanadamu.
 
JK aliwataka wana ccm wawe wameyapata matokeo yote saa moja asubuhii ya tarehe 1, nadhani ndio akaanza kuchakachua
 
Inatia hasira. Mi naona tumfanyie JK mgomo akiitisha mikutano watu wasiende, hata sherehe za uhuru cjui muungano hakuna kwenda hadi atakapotuomba radhi watanzania kwa kutufanya wajinga na amuombe radhi Dk. Slaa kwa kumpora haki yake na kumfanya aonekane mzushi mbele ya wananchi wake.
Halafu uchaguzi unaofuata ile tume ibadilishwe, ichaguliwe na vyama vyote na iwajibike huko wasipoifanyia marekebisho tume tugome kupiga kura.
Haki haiombwi inadaiwa, kuwa na tume huru itakayosimamia mchakato wa hatma ya taifa letu ni haki yetu na sio hisani.
 
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.

Asante sana Dr angalau leo napata nafuu kusikia neno lako
Huu wizi uliofanyika umenifanya nimchukia Rais aliyechaguliwa na NEC
 
Mi nadhani hawa wazee wawili (KIRAVU NA LEWIS MAKAME) umefika wakati sasa wa kuachia ngazi maana kazi waliyo tumwa na JK tayari wameifanikisha maana ni watu wa ajbu sana,wanatufanya watanzania wote ni wajinga,hata siku ile kiravu anajibu maswali ya waandishi wa habari alikuwa ayupo siriazi kabisa anacheka cheka tu pasipo sababu sasa huu ni ujinga wa hali ya juu yaani kiravu na mwezake makame wametuona watanzania ni wajinga sana.:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.

Wanamaombi Tumkumbuke sana DK.Slaa kwasababu ni kweli sana "Haki huinua taifa"

DK.tunaendelea kukuinua mbele za Mungu.
 
Hayo majimbo 3 yaliyoainishwa hapo juu yangetosha kumpa Slaa ushindi?

Mbona mnakuwa na mawazo finyu ma Great Thinkers...Pale ubungo Mnyika alitoa computer zake 2 zisaidie kuhesabu kura kwa mujibu wa gazeti la mwananchi zingekuwa zimetolewa na CCM mngesusia matokeo hata kama Chaadema ingeshinda.

Last but not least huyo Kubenea wa Mwanahalisi ni mwanachama wa chadema mnategemea atakuwa ana report mambo kama yalivyo?

Wake Up great thinkers mtafanya sisi common thinkers tupoteze imani na vichwa vyenu
 
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.
Ahsante Rais wangu kwa kutupoozesha japo kwa sehemu.
bado tuna mawenge ya kuibiwa kura zetu. Tunajua kwamba kosa moja la NEC kutemper na ballot boxex litatupeleka kwenye makosa mengi sana kwani hawa watawala hawana dhamana na nchi wala watu kwani hawakuingia kihalali bali kibabe.
Hongera kwa kutengemaa kwa afya yako na mkono.
Naamini hekima yako na ya chama vitatuongoza vyema kuelekea kwenye ukombozi wa kweli soonest. Tunasubiri pambazuko jipya baada ya tamko lako tunalolingoja kwa hamu. Tunawaunga mkono wabunge wa chama chako na hongera kwa kupata halmashauri 13 za kuonesha mfano wa uongozi makini. Tunaamini kwamba vipaumbele vya taifa mnavizingatia na pamoja tutasonga mbele
Watanzania wengi sana wamechukizwa na yaliyotokea. kila mahali kuna mwangwi wa kudhulumiwa kwa kura zao.
Pamoja Dr. Slaa tutafika
 
Mageuzi1992, Mimi naunga mkono hoja yako kabisa. Ya Nyamagana lazima yatokee TZ kote, ili watu wafahamu thamani halisi ya haki ambayo ikikosekana amani haiwezi kuwepo!
 
Alafu wanatuambia uchaguzi sasa umeisha kwa hivyo mambo yaendelee...........!!! na vidonda walivyo visababisha kwa watanzania kwa kuchukua haki zao je??
 
muonamambo,
Asante sana kwa comment yako. Najua wengi wangelipenda tutoe Tamko haraka haraka. Mambo magumu hayahitaji ushabiki, wala haraka haraka. Tukumbuke haraka haraka haina baraka. Niseme tu uwizi wa kura mwaka huu ni wa kutisha sana. Hivyo tunajiandaa kikamilifu, ili tutakapotoka kusiwe na shaka lolote. Kuna mambo mawili, tunaweza kutoa Tamko la kisiasa na hatimaye Tamko lenye Data. Lakini pia ujue kuwa Tamko la namna hiyo inatolewa siyo na Dr. Slaa, bali na vyombo vya maamuzi ya Chama,kwani katika siasa hakuna jambo muhimu kama kushirikishana. Naomba subiri, si muda mrefu Tamko litatoka. Ninalotaka kuwahakikishia watanzania ni kuwa hatuwezi kuwaangusha kamwe, na wala hatuwezi kuwauza.
Tunawaahidi Watanzania kuwa Wabunge takriban 45 wa Chadema wataendeleza jitihada za kumkomboa Mtanzania. Ajenda ya Wabunge wetu licha ya kushughulikia majimbo yao, lakini Wabunge wa Chadema watakuwa katika ujumla wao Wabunge wa Taifa, na watakuwa wakishughulikia kupitia Bunge maswala ya kitaifa ili hatimaye tufikie lengo letu la kumkomboa Mtanzania, wote wanaohitaji ukombozi yaani wakukulima, wafugaji, wafanyibiashara(wasio mafisadi) kwa lugha ya kawaida Walalahoi. Ninachoomba kwa wote wenye nia njema, tuendelee kushikamana, kushirikiana kwani vita vya ukombozi si vya mtu mmoja wala siyo vya kundi la watu au chama fulani tu, bali wote wenye nia na malengo yanayofanana. Najua tuko wengi wenye nia ya aina hii. Kwa mara nyingine tena, nawashukuru sana Wana JF kwa ushirikiano, ushauri, mawazo japo wakati mwingine yamekuwa very critical yametusaidia sana kujielekeza(focused) na kulenga "real issues". Nawashukuru sana wale wote walioniombea muda wote mkono wangu ulipokuwa umevunjika. Nashukuru mkono unaendelea vizuri, na hata sasa kwa mara ya kwanza leo ninafanya "blind typing" kwa mikono yote miwili. Namshukuru sana Mungu. Mungu awabariki nyote na Mungu ibariki Tanzania.

MUNGU WANGU! Tumeumizwa sna!! Dr wetu wa ukweli ninacho kwambia mpaka sasa nimekufa ganzi, siamini kila kinachotokea. bora hiyo sentensi imenipa faraja. Kwa ufupi, uporaji huu ni wa ajabu. Niko tayari kula pumba na kutoa mchango wangu ili utoe tamko kwenye eneo husika. Tunataka sauti yako sasa, tumeumizwa sana na ccm, kuamka saa 11 tukipiga foleni kwa ajili ya kupiga kura.

Harafu wanatokea kundi la wahuni wanatoa ripoti tofauti na hali halisi? Siwange endelea kukaa madarakani bila kutusumbua? Naomba tamko litoke mapema make mi itanichukua muda kurudi katika hali ya kawaida.

Nimshukuru Mungu kwa kuwa umejitoa kutumikia taifa lako. Naamini kama wana wa Israeli bila Jeshi wala panga waliokolewa mikononi mwa Jeshi la farao, basi nasi tunaamini kwa imani hiyo hiyo, kupitia kwako hatimaye tutaokokoka kutoka makucha ya MAFISADI ambao wanajipanga hata kuanza kupitisha miswada itakyo angamiza taifa.
 
Back
Top Bottom