Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

Status
Not open for further replies.

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
1960327.jpg

credit source: Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya - wavuti
 
Ngoja nimsaidie jibu ni [d], mi nilishawaambia hii familia ni limbukeni haikustahili hadhi iliyopewa kama familia yakiongozi mkuu wa taifa.

Angalia familia za marais waliotangulia ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa mbali ya madudu yaliyofanywa na baba zao lakini watoto na familia hizo zilijua nini maana ya wazazi wao kuwa viongozi wakuu wa taifa. Wengine hata watoto wao hatuwajui si kwamba hawakuwa na uwezo wa kutumia madaraka ya baba zao, lakini kutokana na umuhimu na unyeti wa cheo hicho waliona si busara kuingiza mambo ya kifamilia ndani.

Nafikiri hii inatokana na mkuu wa familia anavyolichukulia jambo hilo, najua kabisa watoto wa Nyerere au Mkapa walivyokuwa wanapata ushauri toka kwa baba zao kwamba watenganishe kazi ya serikali (ikulu) na kazi za kifamilia yaani wazingatie masomo kwanza au wawe na shughuli zao tofauti kabisa.
 
I hope Riz"One" huwa anapitapita hapa... ukiona mtoto wa rais tena kiongozi wa umoja wa vijana wenye nguvu, mjumbe wa mkutano wa chama tawala, kada na kamanda wa vijana tena mwanasheria, zaidi pia ni mdau wa klabu kubwa zaidi tanzania anachorwa hivi ujue ana matatizo makubwa na kama ana akili timamu basi akae pembeni na kushika moja...

A GOOD LIFE IS A PRODUCT OF A HUMBLE BEGINNING, AND ITS DEFINITELY KWAMBA THEY BOY HAS LOST IT
UNLESS NI ILE SMEARING CAMPAIGN KAMA KAWA INAMHARIBIA DOGO
 
Huyu mtoto ni hatari kuna member mmoja kasema anaweza kum cost baba yake, kachafua hali ya hewa UVCCM, kachafua Jangwani kawanyang'anya CCM fomu ya kutafuta wadhamini wa baba yake haya yote si haba katika duru za siasa.
 
hatakiwi kuishi kama watoto wengine walivyoishi anaishi kama wenyewe wanavyotaka kuishi wote wangekuwa kama nyerere itakuwa tabu thats why kuna Ruska,Mzee wa makaa ya mawe na jk style
 
Huyu bwamdogo bora angebaki tu kwenye law firm ya kins Masha akaganga njaa siyo kujiingiza kwenye siasa ataishia kujichafua tu!
 
I hope Riz"One" huwa anapitapita hapa... ukiona mtoto wa rais tena kiongozi wa umoja wa vijana wenye nguvu, mjumbe wa mkutano wa chama tawala, kada na kamanda wa vijana tena mwanasheria, zaidi pia ni mdau wa klabu kubwa zaidi tanzania anachorwa hivi ujue ana matatizo makubwa na kama ana akili timamu basi akae pembeni na kushika moja

A GOOD LIFE IS A PRODUCT OF A HUMBLE BEGINNING, AND ITS DEFINITELY KWAMBA THEY BOY HAS LOST IT

Huyu siku hizi jina lake ni Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Bongo. Utafikiri ni copy ya yule mtoto wa Sadam kabisaaaaa
 
Mkuu wa kaya anajaribu ku kompansate mapenzi aliyomnyima mtoto wake wakati wa utoto kwa kutumia ofisi yetu namba moja ya nchi.
Mapenzi yaliyokosekana utotoni hapatikani hata siku ya kuzikwa, mzee amechelewa anachofanya ni kujiongezea madhira na kuwpa watu cha kumsulubisha akiwa madarakani na vibaya mno atakapotoka ikulu. Kipofu toka lini akamuongoza kipofu mwenzake
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala
 
Huyu kijana vipi kila mahali akiingia anachafua hali ya hewa nakumbuka alilalamikiwa sana kwenye uchaguzi wa Yanga kabla ya uchaguzi aliivuruga UVCCM sijui Baba yake akiodoka madarakani atajisikiaje ????
 
Ataingia yeye! Anasikika mitaani atakuwa raisi wa Tanzania 2025
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

kaka hata kama upo karibu naye haikupi kibali cha kuita watu ni mafala ......kama kweli wewe ni rafiki yake mzuri mwambie ukweli kwani yeye sio malaika!!!!!
 
wa tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
Wivu unawasumbua acheni ufala

nadhani we ndo utakuwa ****..umesema unamfahamu vyema ni wa kiume au wa kike???
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

mkuu nilianza kukuelewa ila ulipomalizia na hili neno nililoli-bold kwenye sentensi yako ndipo nimegundu kila swahiba wako analolalamikiwa ni sahihii kabsaa maana amezungukwa na watu kama wewe unayeonekana kukosa maadili na uharibifu wa khali ya hewa hapa jamvini...NI MAONI YANGU TUU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom