Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jan 28, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Binafsi naweza kusema miongoni mwa mawaziri walioanza kazi kwa kasi, huyu naibi waziri yumo. Awali ilikuwa sana Magufuli na Prof. Tibaijuka (probably ameshakuwa frozen). Lakini baada ya mbio ya miezi michache, kwa sasa naona anayeongoza kuonekana kwenye vyombo vya habari ni Nyalandu. Yeye ni naibu waziri, lakini kwa hali ilivyo amemfunika hata waziri wake (mi hata simkumbuki tena).

  Huwa najiuliza, hivi kweli huyu jamaa ni mchapakazi kiivo, au anajua kucheza karata zake na vyombo vya habari?

  Kwa mwenye background yake vilevile naomba aitoe. Binafsi sikumfahamu kabla ya sasa, zaidi ya wakati wa kampeni kutolewa taarifa hapa JF kuwa ndiye aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM peke yake aliyekuwa anatumia helicopter kwenye kampeni. Pia juzu nilisikia kwenye tv kuwa aliwahi kusoma Ilboru. Hapa JF iliwahi kuelezwa pia kuwa alikuwa na bifu na wamarekani.

  Who is Lazaro Nyalandu? Is he one of the bright future politicians as he seems to show?
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  Shemeji yetu kwa Faraja Kotta
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ok...
   
 4. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :clap2:
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  huyu bwana nilisoma naye o level pale kibaha sekondari japo madarasa tofauti. yeye alikuwa ni mpenzi sana wa kiingereza na alikuwa ni mwanafunzi mwenye juhudi. pia aliupenda sana uongozi tangia enzi hizo.

  alijitahidi sana kuanzisha english club enzi hizo. hii ilianzisha mambo ya midahalo - debate. alikuwa mwenyekiti wa kwanza.

  kimsingi hupenda sana uongozi. kila atapokuwepo hufanya uongozi. hata alivyokuwa bungeni alianzisha chama cha wabunge vijana akawa kiongozi.

  nilikutana naye akiwa mbunge kwenye bunge la kwanza pale morogoro, mimi nikiwa ninafanya M.Sc. tulitakiana hali za miaka mingi iliyopita. akaniambia amemaliza masomo yake ya digrii (sikumbukio kama ni mcsc au bsc) marekani na akarudi kuchukua jimbo moja kwa moja. hata hivyo alikuwa na office yake private PSI building kama nakumbuka vyema kwa maelezo ya business card yake. alichoniudhi ni kitu kimoja tu. alinipa business card ambayo hakuna hata namba yake moja inapatikana. hili sikulielewa lakini nadhani nitapata jibu siku moja.

  i think he might be well working with media.lets hope that all he is moving with will produce tangibles.
   
 6. m

  mgololafinyonge Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi namjua vizuri huyu jamaa kikubwaninachoweza kusema ni FISADI mkubwa anayejificha kwenye mwamvuli wa kanisa.
  1.Ameshirikiana sana na Mama Anna mkapa kufirisi hii nchi,Kifupi walimtumia sana kufanya ufisadi waliofanya.
  2.Amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya baadhi ya makampuni ,amefirisi na kufanya ufisadi aliofanya.
  3Anajua sana kucheza na media kuliko watu wanavyofikiri for 2015.But kiukweli sio mfanya kazi kila kitu anachofanya anatoa bahasha ili vyombo vya habari vije but he is non sense

  So generally sio mfanyanyakazi ni show up for 2015 but tusirogwe tukampa cheo kikubwa ni Rostam mwingine .
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Walewale tu hana jipya, ccm wote ni mafojarist. period. jionee mwenyewe picha hii ya kampeni zake hapa alikuwa anamdanganya nani? je hii picha ni halisi? tazama kwa makini.

  View attachment 21562
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu Nyalandu ni mtu wakaribu sana na Mama Anna Mkapa, huyu jamaa ndiye alikuwa anasimamia ile NGO ya mama Mkapa na amepata support kubwa sana kwenye uchaguzi wa mwaka jana toka kwa mama Mkapa...
   
 9. D

  Dina JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hawa wanasiasa inaelekea tukianza kumchambua mmoja mmoja, wallah hatubaki na mtu!
   
 10. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lets not hukumu mtu with the past and only his negative, lets point out his positiveness, nani asiyejua kuwa media zetu leo bila bahasha hawatatoa habari zako?kuajiriwa na mama mkapa ndio kosa lake la yeye kuitwa fisadi? ina maaana wafanyakazi wote wa BOT, HAZINA na ofisi zingine zinazomilikiwa na wanoitwa mafisadi na mafisadi? ina maana mtu kuwa na mahusiano na yeyote mwenye shutuma ya ufisadi au scandal yeyote naye ni fisadi au anahusika na scandal hiyo? tusitupe lawama sana bila hoja za msingi
   
 11. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Umesahau kitu, alikua anapenda sana ngoma,kwaya na kua karubu na walimu, uwezo wake darasani aukua mzuri, social activities alikua mzuri.Nilikua kibaha o level na A level darasa moja nyuma yake.Jamaa angefit sana wizara ya utamaduni
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Ni mmoja kati ya wabunge waliotumia pesa nyingi katika uchaguzi uliopita...
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Msanii tu.
   
 14. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwa taharifa yako tu, uyu jamaa ana pesa chafu usipimie. Sijui kazipata wapi katika hii nchi masikini. Jamaa ni milionea ati. Kama ulikuwa ufahamu, jamaa naye eti, alikichangia chama chake katika kipindi cha uchaguzi, Million mia.....

  Kama siyo kweli, Makamba akanushe. Kama azijafika, makamba aunduwe tume.
   
 15. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  You provide a good note with caution!! tafadhali dokeza mashirika/makampuni aliyokuwa akiongoza na pia ushirika wake na Anna ili tuweze kuhusisha na kum-strutine vema.
   
 16. S

  SUWI JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye bold nimecheka sana!!!! Laz alikuwa anabadilisha No kama hana akili nzuri... nafikiri ni kukwepa usumbufu maana si unajua tena waswaz kwa kuomba misaada!! Wakati akiwa Ilboru alikuwa mlokole haswa tena akikuubiria lazima na wewe uokoke tu.. Alikuwa akija Weru*2 tunafurahi sana kama mtu ulikuwa huma mpango wa kwenda reading room ambako walutheri tulikuwa tunatumia kusalia j/pili utaenda tu. Akiwa Ilborua alikuwa Rais wa ukwata na alipata vitrip kibao nje ya nchi akajitengenezea marafiki kibao esp Marekani...

  Mi namjua kama mtu mzuri tu hana maproblem. Kusema ni fisadi mhh!! ukaribu na mama Anna Mkapa ni kweli.
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Fighter hahahaha itabidi tutafutane!!! ni kweli ni mtu ambaye ni fundi sana wa kujikomba. kitendo cha kunipa namba za simu ambazo hazikuwa functional nilikichukulia kuwa ni dharau...

  nilisikia kuwa alimwaga hela nyingi sana wakati wa uchaguzi wa 2005. aliweza kubadilisha matokeo overnight!

  nasikia ana konnection na kubwa na marekani. hilo la ufisadi linaweza kuwa la ukweli. imagine, how do you come straight na kumanage ubunge at that time t?

  ana maneno matamu, lakini anaweza kuwa na ironic hand.

  hupenda kutembelea mercedes benz.
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Anauza sura tuu uyu mbona
   
 19. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hiki kijamaa cha home ni kisanii na kifisadi ile mbaya. Kilimfanya kitu mbaya mtoto wa marehemu mzee Monko( mbunge wa zamani wa singida vijijini) alipoingia kwenye kinyan g'nyiro cha kura za maoni 2010. Nyalandu aliwahonga poilisi pale mkoani wamsumbue mshindani wake Eng. Joseph Monko. Polisi walimfanya kitu mbaya kwa maelekezo ya Nyalandu mpaka jamaa kaamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni CCM.
  Kwa sasa atakuwa ameshahonga baadhi ya waandishi ili apate coverage, hana lolote ni utapeli tu. Alikuwa akijifanya mlokole huku akiwachanganya mabinti ile mbaya, fisadi kweli kweli huyu. ki kwetu tunasema " "isii mbwa a muntu"
   
 20. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hana cha uchapakazi ni kwamba hakuamini kupata uwaziri. amekuwa akisubiri uwaziri miaka yote hivyo anajitahidi kumu impress Mkwere. Anajitia mlokole lakini hakuna kitu ni malaya kwanza alimdanganya mtoto wa mchungaji Haule wa Arusha kwamba atamuoa lakini wapi. Binti alikuwa anafanya kazi Zain Arusha. Currently ni board member wa TANAPA na AICC. Anapenda sana pesa huyu kijana.
   
Loading...