Elections 2010 Mnyika na wanachuo UDSM

Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

Watu wa mipasho huwa hawakosi cha kusema na kila mara ukweli kwao ni sumu!!!!
 
kaa mbali na sisi ustuambukize ujinga wewe ulietoa iyo mada
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

CRAP!!

Kwa heshima na taadhima, Mkuu Invisible na MODs, naomba mniruhusu kusema hicho nilichosema hapo juu, sitarudia tena.
 
Waulize CCM wenzio kilichowapata UDSM watakwambia
 
CRAP!!

Kwa heshima na taadhima, Mkuu Invisible na MODs, naomba mniruhusu kusema hicho nilichosema hapo juu, sitarudia tena.
Mundu unaomba ruhusa wakati ushasema ?
Lol umenifurahisha anyway
 
wee EZAN akili yako finyu sana, Mwaka 2005 MNYIKA hapo MLIMANI alipata kura nyingi sana toka kwa malecturers, familia zao pamoja na wanachuo. Mimi uchaguzi huu wa 2010 nilitoka Mwanza nikaja kuwapigia kura Chadema alafu unaleta HADITHI. Huna hata aibu, uko kama AL-SAAF wa TANZANIA.
 
Mfa maji tu huyo wa sisiem, kwanza watatueleza kwa nini sehemu ambazo sisi WATANZANIA tumeshinda mmetuletea zengwe kutangaza matokeo.
 
wewe pumbavu nn!! umenichefuwa mshenzi mkubwa.. eti wanafunzi wangekuwepo wasingempa Mnyika, ongaja niishie hapa..
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

wewe lazima utakuwa ccm .
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

chama nini? unapozungumzia mapinduzi ya kweli yanaanza pale mlimani, peeeeeeeople
 
Kama hiyo ni kweli CCM wangefanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwapo ili kuhakikisha kuwa Mnyika anashindwa kwa kishindo. Nafikiri wewe mwana CCM una beef na Mnyika sababu unachosema hakina mantik - Hakina defence ya kisayansi.
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
Wewe naweeeee yaani ccm ni kichefuchefu tupu kuanzia mwenyekiti wao mpaka wavuja jasho kama nyie, kuna wakali nilikuwa nakuheshimu sana kwa posts zako.
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
Nakwa taarifa yako karibu mawakala wote wa myika jimbo la ubungo ni wanafunzi wa chuo ambao wanaishi dar walijitolea mpka wakabaki wakahamishiwa jimbo la kawe
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

Kha!!! You must be sick:nono::nono::nono:
 
Back
Top Bottom