Recent content by mgendwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

    Kuna nchi bangi ni kitu cha kawaida ohoo bangi bangi kitaeleweka tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Dah !!! Nchi hii alafu wanachekeana kweli heri yenu nyie kundi dogo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawaongelei fedha za escrow?

    Wenje leo aligusia pia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

    Kwenda kushaangaa chopa tu acheni kuwakosea Wtz heshima na kuwaaona hawana kazi,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufa mapema mwanaume oa mwanamke ambae ni maskini na ukoo mzima ni maskini

    Kichwa cha habari hakina uhalisia kuna watu wameoa familia za kishua lkn still ni sheeeeedar cha msingi kumtanguliza Mungu kwani hakuna formula kwenye hili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

    Matangazo huwa yanasema kwa poata hiyo EMS umeitoa wapi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

    Huwezi kumuelewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Wapinzani wakiungana wanaweza kuing’oa CCM

    Mzee kaongea yake lakini kambona 1967 Mrema 1995 kila zama na matukio yake kijani walikuja na magamba 90 zikaisha zinaenda mia 500 so everything is a product of time IPO siku kijani itatoweke
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Voda kwa Mzee Kisumo na kuwekwa Maajar na mitazamo ya kisiasa

    Ndo maana kuna dude linaitwa Ero link pale ni ufisadi tu miaka mitatu hawajalipa kodi picha linaanza someka sasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikifika Tz inshallah kitu cha kwanza ni kuipiga kibiriti kadi CHADEMA

    Subirini 2015 ndo mtajua hawa jamaa ni genge, wahuni name maneno yote ya kibaladhuli mnayowaita you have to know cdm flower every day is increasing and the reasons clearly known andikeni tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

    Kijani wameshikwa pabaya huku nywele nyeupe kule pamoja daima mbombo nkafu kitaeleweka tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naunga mkono CHADEMA na sio CCM tena

    Ulitaka wakatae we mbulula kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

    Kijani kwisha habar yaani mwigjulu ndo jembe dah
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Yetu macho na masikio nimemsikia makonda je uvccm watategua 90 zilizobadilika 400
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM beki hazikabi

    UKiona hoja zinajibiwa matusi matusi inamaanisha uwezo wa kufikiri kwishiney haijalishi mtoa hoja ni chadema au ccm
Back
Top Bottom