Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

Kwenda kushaangaa chopa tu acheni kuwakosea Wtz heshima na kuwaaona hawana kazi,
 
Ccm hawana kabisa majembe ya kazi kwasasa mikutano yao haina mvuto kabisa sio siri mwakani cjui?
 
Nani kakwambiaga ss ni washamba wa chips hujui tabora kabla ya vita vya Uganda we ndio mshamba mkubwa tena ----- tandarubeta.
 
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.

Kwa akili yako ndogo unaoona basi umewakomoa kwa hii post, unadhani ni kwa nini Tabora watu haeana shughuli nyingi za kufanya?
 
Tabora kuna kiwanda gani? Hapo wote ni majobless wanapoteza muda tu wakalale

Unaona ulivyo jitu la hovyo? unasema tabora hakuna viwanda si ccm imesababisha hayo? sasa wanataka CDM ili mabadiliko yawepo wawe na viwanda na ajira kwao ziwepo!!
 
Back
Top Bottom