Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Salaam wadau.
Kwa wale wanaojua naomba tufahamishane njia sahihi ya kutuma application tume ya ajira.
Kuna njia ya posta ya kawaida na ile ya EMS. Lakin inasemekana ya EMS haikubaliki.
Tufahamishane tafadhali.
 
Posta tu!!
Mbona hata hiyo huduma ya EMS inatolewa kwenye ofisi za TPC kwa hapa nilipo.
Pia wanasema kwa njia ya kawaida ambayo hugharimu elfu 1700 barua zinachelewa kuwafikia walengwa kwani wanaona kama ni old fasion kwenda kufungua fungua yale mabox na uwingi wa barua.
EMS pia wanasema japo ni gharama kidogo (13100) barua hufika mapema na kwa uhakika zaidi.
Posta pia wana njia nyingine wanaita registration ambapo mtumiwaji (utumishi) anapigiwa simu kuja kuchukua barua zake toka kwa mwombaji na gharama zake ni elfu 3900.
N. B
Gharama hutofautiana na sehemu uliyopo.
 
Nimekuelewa ndugu. Japokuwa nimesikia eti EMS ni kama hand derlivery kwa kuwa barua hufikishwa ofsin na watumishi wa posta kwa mkono.
 
njia sahihi ni posta tena ile ya kawaida huku mbeya Tshs 1,000 au 1,200. mie siku zote hutumia njia hii na siku zote barua hufika na hua naitwa
 
mbona ukizituma pia kwa njia ya kawaida hupelekwa kwa mkono mpaka pale utumishi hii nayo ikoje?
 
Dah ni utata! Am confused kwa kweli..... huku niliko EMS ni ghari (13,100/=) kwa bahasha moja. Pia kwa njia ya kawaida nahisi inaweza kutofika in time maana ni mbali. Nimetumia ems miaka miwili salsa sijawahi kuitwa interview ya utumishi.
 
pole sana mtafutaji mwenzangu, cha msingi ni kujipa moyo tu ipo siku maanan atatusikia kilio chetu. Tuma tu kwa njia inayowezekana kufikisha barua zako huko kwa kumeet deadline!!
 
njia sahihi ni posta tena ile ya kawaida huku mbeya Tshs 1,000 au 1,200. mie siku zote hutumia njia hii na siku zote barua hufika na hua naitwa

Na kwa bahati mbaya zaidi hujapata kitengo bado,dah pole mkuu
 
Duu tsh 3,14 400/= minimum kwa miaka miwili umetumia kuomba Kazi Poole saana vipi kuhusu plan b? Na c
 
Dah ni utata! Am confused kwa kweli..... huku niliko EMS ni ghari (13,100/=) kwa bahasha moja. Pia kwa njia ya kawaida nahisi inaweza kutofika in time maana ni mbali. Nimetumia ems miaka miwili salsa sijawahi kuitwa interview ya utumishi.

Usitumie ems!tumia njia ya kawaida inafikaa sema uwe unatuma mapema pind tangazo linapotoka
 
tehe tehe, asante lakin zingine (interview) hua siendi kutokana na kutingwa kwani kuna kibarua kingine nafanya hapa mbeya!
 
Mtoa mada.. EMS ni hufuma ya posta vilevile.. Na si kwelk kuwa utumishi hawapokei... Wao hawapokei hand delivery tu
 
Back
Top Bottom