Huyu nyepesi akila yeye siyo ufisadi. Wakila wenzie ndiyo unakuwa ufisadi! mbona anakuwa km mama anayewaambia watoto wasikombe mboga ilhali yeye anakomba??????!!!!!
Jamani kweli watanzania ni wavivu haijalishi wamesoma au hawajasoma, maana siku hizi mtu akimtilia wasiwasi mkewe kwa mtoto aliyemzaa anakwenda kutafuta uthibitisho kwenye vipimo vya DNA. sasa hiyo ya Kakobe haihitaji hata DNAtest,gharama yake ni kufika tu pale jumapili mchana wakati wa ibada na...
Tatizo hapa wapo walioelewa lengo la mtoa mada, na wengine hawajaelewa kabisaaaa maana hiyo michango wanayoitoa mhhhh!!!! wote tungemwelewa mtoa mada km nilivyomwelewa mimi nadhani ingekuwa kitu rahisi sana.
Asante kwa ripoti lkn mhhh! mi naamini zaidi nilichokiona kwenye kipindi kilichorushwa na mlimani tv. kwa sababu nchi hii mabingwa wa kuchakachua, hivyo sina imani na ripoti hiyo, labda wanatume wangekuwa hawana uhusiano kabisa na ze gambaz ningeamini.
( By Munambefu Huyo ndiye kiongozi anayetegemewa na CCM kukijenga chama!Anafikiri kwa kutumia tumbo au masaburi kama kawaida yao.Niliwahi kumsikia kwenye mkutano mkubwa wakati akiwa CUF pale temeke akisema "sitarudi CCM labda nimlale mama yangu"na sasa yupo huko,je huyu si punguani?Haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.