Ukweli wa tuhuma za Pinda huu hapa

Ukweli wa tuhuma za Pinda huu hapa

Pamoja na hawa washadadiaji kama unavyowaita na kwa sababu uliozitaja ama na zinginezo zozote. Swali, watajwa wamehusika katika ufisadi huu ama hawahusiki? Kama hawahusiki na wako clean, kitete cha nini? Sheria haitoshi kuwasafisha hadi mpgie kampeni?

Ukweli utajulikana. Na wote waliohusika bila kuajli vyeo vyao ama matarajio yao ya kesho watawajibika ipasavyo. Wote wanaohusishwa kimakosa, bia kujali uzito wa kelele zinazopigwa dhidi yao, ikibainika hawana hatia, watasafishwa na wala hawataadhibiwa.

Sasa kampeni za nini?? Nayo ni uchaguzi?

Wakuu habari za asubuhi .Kile kinachoonekana kuwa ni kuchafuliwa kwa eaziri mkuu mh. Mizengo Pinda hivi karibuni kimebainika.
Vigogo wasaka urais na Wabunge mbalimbali kama David Kafulila, Sendeka, Serukamba na Ligola wakiwa wamelishika sakata la bilioni 200 za Escrow na wengine wakiwa wanataka Pinda ang'olewe katika nafasi yake ya waziri mkuu.

Imefahamika kuwa si kweli kuwa mtoto huyu wa mkulima anahusika. Bali ni vita kati ya wabunge, baadhi ya mawaziri na Urais 2015.Mivutano ifuatayo ndiyo inayomtia kitanzini mzee wa kimyakimya.

VITA YA WABUNGE :Inasemekana David Kafulila anatumiwa na mh. Mbunge tajiri Nimrod Mkono. Mkono ana ugomvi mkubwa na TANESCO kutokana na malipo yake ya mamilioni ya dola aliyokua analipwa na serikali kila mwezi kupitia TANESCO kusitishwa na Muhongo na katibu mkuu wake Maswi.

Malipo haya tata yalikuwa ni ya kazi ya Mkono kama mwanasheria wa TANESCO. Hoja hapa ilikua ni kubainika kuwa malipo hayo yalikuwa mkubwa sana na yaligubigwa na giza katika kiwango cha malipo. Hivyo Mkono anataka Prof Muhongo ang'olewe katika wizara ya nishati na madini kama kisasi.

Ndipo David Kafulila akapewa kazi hiyo kupitia ESCROW na anakula pesa za Mkono kwa kazi hii.

CHRISTOPHER OLE SENDEKA:

Huyu ni Mbunge wa Simanjiro na rafiki kipenzi wa Reginald Mengi wa IPP. Mtakumbuka vita ya mzee Mengi na Muhongo juu ya vitalu vya gesi hivi karibuni. Wawili hawa walichapana sana hadharani na kwenye makongamano huku Muhongo akidai kuwa Mengi ni dalali na sio mfanyabiashara. Hasira za Mengi zimeelekezwa katika kumng'oa prof Muhongo katika kiti chake cha uwaziri.

Hii ilibainika wakati wa kupitisha bajeti ya prof Muhongo mwaka huu. Baadhi ya wabunge wanasemekana kuhongwa ili wamshambulie Muhongo na kukwamisha bajeti yake. Kazi hii inafanyika sasa kupitia sakata la ESCROW. Ole Sendeka anasemekana kutumiwa na bilionea Mengi kumchapa Muhongo kama kisasi cha sakata la vitalu lililomvua nguo Mengi.

SERUKAMBA,FILIKUNJOMBE:

Wabunge hawa wanaongoza kundi la wabunge wa kambi ya mgombea Urais mmoja wa CCM mwenye nywele nyeupe. Hawa nia yao hasa ni kumchapa Pinda. Wanatumwa na kupewa fedha ili kuhakikisha kwa gharama yoyote wanatumia vuguvugu hili kama fursa ya kumsafishia njia mgombea wao kwa kumuhusisha Waziri Mkuu Pinda na sakata la ESCROW.

Lengo hapa ni kumuondoa madarakani japo hahusiki ili ionekane kuwa hata mgombea wao aliwajibika kisiasa tu na hivyo kumsafishia njia nywele nyeupe. Aidha katika siku za karibuni Pinda anasemekana tangu kuanza kutajwa kugombea Urais amepata kuungwa mkono sana na kuvuna wapambe wengi wa wagombea wengine akiwemo Nywele nyeupe.

Pinda ameonekana kuwapiku wenzie walioanza mbio hizi mapema kutokana na uadilifu wake na kuwa ni mtu anayependa watu, asiye na majivuno na aliyekuwa karibu sana na baba wa taifa hayati mwalimu Nyerere . Hivyo ni lazima ashughulikiwe apunguzwe kasi na ikiwezekana ajiuzulu kabisa ili kufanya safari ya nywele nyeupe kuwa nyepesi.

BARAZA KUU UVCCM :

Juhudi za kumchafua Pinda zimeendelea pia wakati wa vikao vya BARAZA KUU la UVCCM Dodoma. Kazi hii inaratibiwa na kada mmoja wa CCM mwenye asili ya Somalia akiwa ameweka kambi Dodoma. Kada huyu ameleta kundi la vijana zaidi ya 30 wasiokua wajumbe wala watumishi wa CCM kutoka sehemu mbalimbali.

Vijana hawa walikua Dodoma wakila na kunywa na kulipwa posho Kazi yao kubwa ikiwa ni kurandaranda katika baa na kumbi zote za Dodoma usiku na mchana kufuatilia wafuasi wa Pinda wamekaa na nani na namna bora ya kumchafua Waziri Mkuu kwa kumuhusisha na ugawaji wa pesa. Kundi hili lilizagaa Dodoma kama paka wa baa kunusa kila mahali na kuandika mitandaoni kumchafua mzee Pinda.

Inasemekana posho yao ilikua kati ya sh 100,000 na 200,000 kulingana na taarifa unayopeleka kwa kada huyo Msomali. Uroho wa pesa uliwafanya vijana hao kupeleka taarifa za uongo mradi wapate kula yao.Hii ndio hali halisi wakuu juu ya mambo haya ambayo nimeyafanyia kazi
kwa kina.

Pinda anaonekana ni tishio kwa wataka Urais ndani ya CCM.
 
Pamoja na Mh.Pinda kuonekana bayana hana mvuto kuwa rais kw amantiki ya vigezo hata wewe uliyeandika huu uzi HUNA NGUVU YA USHAWISHI KWA KUTUMIA MAANDISHI
nani atampa kura Pinda amepinda kama jina lake ccm wote hawafai mafisadi wakubwa bora mara 2000 DR SLAA
 
Kwani shida iko wapi? Penye ukweli uongo utajitenga. Pinda hajasema, Useme wewe. Wewe ni nani, umetumwa?
 
Usituletee blah blah hapa. serikali ya CCM wamekwapua pesa zetu wakagawana na familia zao wakati hospital zetu hazina dawa watu wanakufa kwa kukosa hata panadol. waambie wezi wa CCM warudishe kwanza pesa za watanzania then ndio uje na hizi story zako za kusadikika!!!!useless
 
Mbona hapa kama umeweka list ya watu wenye vinyongo na wahusika bila evidence jinsi gani wamehusika kwa kumchafua..like sema how much kafulila amelipwa which account pesa iliingia huko..likewise kwa hao vijana wa CCM weka ushahidi wa malipo yao
naona kama its more of the politics as well na kumsafisha waziri mkuu lets focus on the facts and evidence naona this is more of tetesi tu...
 
Mavijana ya ccm yanawaza Rushwa tu.

Bila rushwa hayaende haya matoto ya panya nayo ni mapanya tu.

Mkuu, leo nimeona mahali vijana wa ccm wanataka wagombea wao watangaze nia mapema! Ni wazi wanataka mchuano uanze mapema ili wapate kula kwa kila mgombea. Kwa vijana wa aina hii, taifa hili litaangamia!
 
Kalete drama nyingine hii imechuja

mbaazi ukikoss maji husingizia jua....

ray jay Kama ishu ni nyepesi namna hiyo mbona kuna kigugumizi kizito kuiachia ripoti ya escrow hadharani?

Ingalau leo umerudisha akili yako ya kisomi!
 
Teh teh teh

Kama huu ndio ukweli mbona ripoti haiwekwi hadharani?

Unaongeleaje suala la waliojipambanua ni wasafi kuchota mabilioni haya ya umma kwa maslahi binafsi?

Labda Kama unaishi hapa kwa kusimuliwa tu but ungebahatika kuona kilichopo ndani ya ripoti usingejiabisha Ku comment utoto huu
Lusungo, ni wewe kweli? au ID yako imeibiwa? au umepona ule ugonjwa wako wa kukumbatia mafisadi ya CCM?
 
kinachomhusisha pinda kama wengine wowote, ni ripoti baada ya uchunguzi na ni taarifa pekee itakayomtaja kila mmoja na ushiriki wake.mleta uzi hebu sasa na itoshe kuwatetea hawa wanasiasa pindi wanapotuhumiwa,watatumaliza hadi tone la mwisho la damu.watu wanatembea nyuma ya matumbo yao shauri ya kula kupita kiasi huku wengi wakiangamia kwa huduma mbovu ya jamii.wewe usimalize wino wako kuwatetea au kufafanua yawahusuyo kwani ni wenyewe walikula,na ni wenyewe wanasulubishwa.hawana hasara.
 
Acheni ujinga .Subirini ripoti ya CAG

Hatasalimika mtu hapa.Tumeziona nyaraka na tunaendelea kuzipata...

Safari hii mtakoma.Kazi ya kuwashambulia akina Zitto,Kafulila,Kangi Lugola na Filkunjombe ifanyeni baada ya Ripoti ya CAG

Safari hii nauona uzittoism ndani yako mkuu!safi sana kwenye masuala ya msingi lets join our hands together,tupaze sauti kwa kusema bring back our money!zile zama za kina mbowe kukutumia kipuuzi puuzi sasa baaasi!tusukumwe na uzalendo wa nchi yetu na si kutumiwa na wapuuzi wachache!
 
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
 
Nimekuwa nikifuatilia majibizano mbali mbali ya watanzia ambao wamejipambanua kuunga mkono chama fulani au watu mbali mbali katika jitihada za kusaka urais. Jambo la ajabu na la hatari kwa Tanzania ya kesho ni mbinu na upofu wa hawa watu katika harakati za kuwauza watarajiwa wao. Wamekataa kuiangalia Tanzania na kukubali kuwa mateka wa tamaa mbali mbali za wawakilishi wa makundi ya utajiri!

Swala la sera na ustawi wa mtanzania katika Tanzania ya kesho linatoweka kwa kasi na kuchukuliwa na uwezo wa pesa. Sina hakika kama inawezekana mtu akagombea urais kutokana na uwezo wake kiakili, uadilifu, na maono ya Tanzania katika dunia ya kesho. Hivi vigezo vya udini, ukanda, gender, na kadharika ni uongo tu, muhimu ni pesa. Hatutakuwa na Obama katika uchaguzi ujao kama ilivyokuwa siku zilizopita hadi alipomaliza Mzee Mkapa. Hawa walikuwa na wagombea wa haki waliokuwa wamepatikana si kutokana na makundi ya matajiri izi zilikuwa ni chaguzi za haki kwa watanzania ambapo mgombea alikuwa ni wa kweli na sio wakutengenezwa na kikundi cha watu chini ya msingi wa pesa. Hii haina maana kuwa hao wote waliokuwa wamependekezwa kwa misingi ya kistaarabu walikuwa wazuri kiutendaji.

Dhana ya rais wa kutengeneza kwa pesa ilianza pole pole mwaka 2005 na sasa imekuwa ndio sheria ya uchaguzi wa rais wa Tanzania. Sina maana kuwa marais wote wa kutengeneza ni wabaya ila madhara yatokanayo na kutengenezwa hayana maslahi kwa Tanzania kama nchi bali kwa hao wanaotumia pesa zao kutengeneza marais. Hawa ni watu wachache ambao hutumia maskini wengi kupitisha maslahi yao. Ndio maana mtandao wa 2005 leo hii ni vita na vurugu maana wengi wa maskini waliotumika bila kujua nani yuko nyuma ya huo mtandao hawakupata walichokitarajia. Kwa hali ilivyo sasa mtu makini asiye na mshikamano na wenye pesa (pesa za kutosha) asitarajie kuwa na uwezo wa kugombea urais. Awe wa upinzani au chama kilichoko madarakani. Matajiri huweka pesa kwenye mradi wenye ¨high return on investment¨ (ROI). Mbona tunao watu wengi katika chama tawala na upinzani ambao kifikra, uwezo, elimu, wangekuwa ni marais wazuri sana na kutufikisha mahali fulani tatizo lao hawako kartibu na hao wenye pesa. ni vizuri watanzania tulio wengi tukalielewa hilo na kuanza kulifanyia kazi. Labda kwa kiasi fulani lilikuwa ndio lengo la rasmu ya Mzee Warioba na wenzake ambao hawakupata uongozi kwa pesa bali uwezo wao hata kama sio wote waliokidhi matarajio yetu wakati wakiwa viongozi. Wenye pesa na waliowaweka madarakani ndio watatuchagulia marais, watatuandikia katiba, wataaamua nani afanye biashara, nani awe waziri, nani aongoze chama (upinzani au chama tawala) na sie kazi kubwa itakuwa ni kuwaimbia nyimbo za kuwasifu huku wakitutumia watakavyo. Ni mfumo usio na chama, itikadi, dini, kanda wala aibu kwa mtu mwingine. Uko ndani ya upinzani na chama tawala na kama huu mfumo hatutaukataa na kuuharibu ili kesho tuwe na rais atokanae na jamii na sio matajiri wachache basi Obama (Mtanzania) wa kweli kwa ajiri ya Tanzania tusimtegemee.

Dah! Mafisadi watatumaliza. Ahsante mkuu kwa kutujuza ukweli

Hivi Lowasa bado ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania? Kaaatuuuuuu!
 
kwa hiyo we unaona hizi pesa hazikuibwa? hivi team pinda imeshaanza kazi???
 
hivi hakuna wa kuiba hiyo ripoti akaipandisha humu jukwaani kabla haijachakachuliwa?mbona mitihani inaibiwa kirahisi na watoto wa shule!
 
watu watazunguka weeee!!!! , at last january makamba anachukua kidude, wewe ngoja tu hayo mazee yanayokwapua hela zetu yatakavyoumbuka,,,
 
Back
Top Bottom