Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

Wee mtumwa subiria kama huku tunakoelekea tutasahau mafisadi wasio na huruma hata kidogo walichokifanya kwenye raslimali ya Taifa letu!
Fisadi Mkuu Lowasa akishughulikiwa ipasavyo nchi itakuwa salama
 
Mpaka sasa hivi sijaelewa plan ya Kikwete ya kumtema Lowassa ni ipi.

Amejijenga sana CCM, upinzani na kwenye taasisi mbali mbali.
 
Mziki Wa Edward hamuuwezi kila kona ya nchi taarifa ni Lowassa rais ajaye. Na hata kina simuyu yetu na chabruma aka makonda kijana asiye na maadili wapinge daraja tutalivuka tukilifikia ukisingatia kuwa wengi tayari wameshasimama na kugesabiwa.
 
Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

Hayo aliyasema katika uzinduzi wa helikopta maalumu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dar es Salaam jana.

Lowassa alisema alipopata mwaliko huo alifurahi kwa heshima aliyopewa, lakini alikutana na swali gumu linalohusiana na urais.

“Nilipofika hapa, kuna mmoja wa rafiki zangu akaniuliza, umekuja kutangaza nia? Nikamwambia sikuja kutangaza nia hapa...Sina mpango huo kwa sasa. Nimekuja kusali na kushiriki kanisani kwa ajili ya kuinua jina la Bwana,” alisema Lowassa.

Alisema taifa linahitaji viongozi wenye maono ambao ndiyo wanaoweza kulivusha na kulipeleka mbele.

Akihutubia maelfu ya waumini kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, alisema viongozi wenye maono ndiyo mfano unaotakiwa kufuatwa kwa kuwa utaleta mabadiliko chanya.

“Hatuhitaji viongozi wenye kusimamia na kutunza hesabu. Tunahitaji viongozi wenye maono na kuhakikisha maono hayo yanatimia. Kanisa lenu lina bahati kwa kuwa lina kiongozi mwenye maono na anayeweza kuyasimamia,” alisema.

Akielezea ununuzi wa helikopta hiyo, alisema amefurahishwa na hatua hiyo ambayo ni ya kihistoria nchini. Awali, Askofu Gwajima alisema anaumizwa na baadhi ya wanasiasa wanaoshindwa kusimamia uamuzi wao, huku akiwaita ‘ndumilakuwili.’

“Nawajua sana wanasiasa, wapo ambao wakikwambia umepata, usipumzike, tafuta zaidi kwa kuwa hawamaanishi hivyo. Lakini Lowassa akimwambia umepata, nenda kampumzike,” alisema.

Chanzo: mwananchi.co.tz

Tulijua tu hataweza. Ule ugonjwa wake wa parkinson umeanza kumshambulia sehemu ya ubongo. Sasa hivi ameanza kupoteza kumbukumbu na kutetema mikono. Afadhali kama ameamua kufuata ushauri wa daktari wake wa ujerumani. Otherwise hata kama angepata urais angetumikia kwa mwaka mmoja hivi halafu ibara ya 84 sehemu ya 1-3 ya katiba ingetumika- ibara hiyo inasema rais akishindwa kumudu majukumu kutoka na maradhi ya mwili au akili nafasi yake itachukuliwa na makamu wa rais.
 
Wapo mabwana wengi, lakini Bwana Mungu aliye juu sana hahitaji kuinuliwa na kiumbe chochote kilichoumbwa naye.

unapoandika masuala ya dini jitahidi kuandika lugha nyepesi na inayoeleweka kwa uraisi, hapo uliposema kiumbe chochote kilichoumbwa naye panaweza kuleta utata kama mnavyotafsiri kwamba, kitokacho ndicho kinamtia mtu unajisi kwamba maana yake ni kuruhusu kula nguruwe
 
Wewe sio Mungu, unaweza ukafa wewe watu wakakusahau Lowasa akaendelea miaka 30 mbele, sijapenda ulivyoweka hii coment mkuu, je wewe ni mzima? una uhakika wa kuiona kesho?
 
Ole wako unayemdhihaki Mungu utakaponenewa maneno na wale maskofu waliongozwa na roho wa bwana wakamualika Lowassa na hizi dhihaka zako Lowassa na kumpangia kifo sijui kama mwaka utavuka wewe na familia yako. Nyie ndiyo wale wanaopataga mzinga kwenye vyombo vya usafiri vinavyoteketeza familia mzima Kwa sababu ya kutaka kufanya kazi ya MSW.
 
unapoandika masuala ya dini jitahidi kuandika lugha nyepesi na inayoeleweka kwa uraisi, hapo uliposema kiumbe chochote kilichoumbwa naye panaweza kuleta utata kama mnavyotafsiri kwamba, kitokacho ndicho kinamtia mtu unajisi kwamba maana yake ni kuruhusu kula nguruwe

Ukinywa pombe kinatoka nini "matusi siyo" Ukikerwa yanayoingia ni maneno "kinatoka nini kuua labda" Ukikutana na mwizi unaingiziwa mbinu za wiz siyo "kinachotoka ujambazi siyo" Ndio maana tunasema chunga sikio na macho maana ndio huingiza yote mabaya na mazuri.

Samahani kama nakera ila kwa kweli nguruwe ni kitoweo kitamu balaa. Hakuna nyama tamu ka ya nguruwe na pweza duniani. Huu ni ukweli na mwili unaokula nguruwe unazikwa hapa aridhini na roho ndio inaenda Mbinguni au jehanamu. Nguruwe ni kwa ajili ya mwili but neno la Mungu na matendo mema ni kwa ajili ya roho. Pombe inaharibu mawazo na roho hivyo kuleta dhambi ndio maana kunywa pombe ni ndhambi ila kula nguruwe ni sawa na ugali tu kwa ajili ya nguvu za mwili.
 
lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

dar es salaam. Waziri mkuu wa zamani, edward lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

Hayo aliyasema katika uzinduzi wa helikopta maalumu ya kanisa la ufufuo na uzima, dar es salaam jana.

Lowassa alisema alipopata mwaliko huo alifurahi kwa heshima aliyopewa, lakini alikutana na swali gumu linalohusiana na urais.

“nilipofika hapa, kuna mmoja wa rafiki zangu akaniuliza, umekuja kutangaza nia? Nikamwambia sikuja kutangaza nia hapa...sina mpango huo kwa sasa. Nimekuja kusali na kushiriki kanisani kwa ajili ya kuinua jina la bwana,” alisema lowassa.

Alisema taifa linahitaji viongozi wenye maono ambao ndiyo wanaoweza kulivusha na kulipeleka mbele.

Akihutubia maelfu ya waumini kwenye viwanja vya tanganyika packers, alisema viongozi wenye maono ndiyo mfano unaotakiwa kufuatwa kwa kuwa utaleta mabadiliko chanya.

“hatuhitaji viongozi wenye kusimamia na kutunza hesabu. Tunahitaji viongozi wenye maono na kuhakikisha maono hayo yanatimia. Kanisa lenu lina bahati kwa kuwa lina kiongozi mwenye maono na anayeweza kuyasimamia,” alisema.

Akielezea ununuzi wa helikopta hiyo, alisema amefurahishwa na hatua hiyo ambayo ni ya kihistoria nchini. Awali, askofu gwajima alisema anaumizwa na baadhi ya wanasiasa wanaoshindwa kusimamia uamuzi wao, huku akiwaita ‘ndumilakuwili.’

“nawajua sana wanasiasa, wapo ambao wakikwambia umepata, usipumzike, tafuta zaidi kwa kuwa hawamaanishi hivyo. Lakini lowassa akimwambia umepata, nenda kampumzike,” alisema.

chanzo: mwananchi.co.tz
huyo ni fisadi hafai hata kutangaza nia. Hafai kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kama makonda wa ccm mwenzake alivyosema na clip watanzania wote wanayo
 
Back
Top Bottom