Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

Hivi hapa nawaza tu,

Mtoto aliekojolea Quran aliambiwa na mwenzake kuwa akikojolea atakuwa chizi ndio maana yeye alikojolea ili a;prove.

Ingetokea after kukojolea tu mtoto huyu angekuwa chizi kweli, hivi waislamu wangeandamana? au wangejisifu kuwa Mungu wao anajibu fatsa fasta?

All and all, udini sio kitu cha kukiunga mkono, uwe mkristo au muislamu mana vita itakapotokea ya kidini wote ni waathirika regadless of dini yako.
 
Jichambueni, mtoe pumba katika mchele. Vinginevyo sifa ya uislamu itaharibika.

iharibike mara ngapi? mbona wengi wetu tunaiona ni kama kikundi kimojawapo cha Al- Quaida? dini isipoweka busara na ustahimilivu kipaumbele chake, hiyo sio dini ya mwenyezi Mungu.....baili ni moja tu ya matatizo ambayo wanadamu yamewakuta.
 
Ukweli ni kwamba wakorofi ni wachache sana ila mbinu wanazotumia zinawaogopesha wenye busara kusema. Pia mbinu hizo zinawaingiza wasiojua lolote kwenye mtego na jazba.

Nakumbuka nukuu ya Mwl Nyerere alisema wewe mwenye akili timamu ukidanganywa na Kichaa then wewe utakuwa ndio kichaa zaidi. Ndio yanayotokea .................. UDINI UDINI UDINI
 
mkuu mimi ni muislam.
Umejaribu kutoa ufafanuzi mpana, kusema kweli hakuna muislam anaependa kuona machafuko katika nchi yetu na suala la uchomaji wa makanisa ni kunyume kabisa na mafundisho ya uislam.

Hao waliofanya hivyo vitendo ni wahuni na kamwe uislam haukuwatuma wala haukufundisha hivyo.

Tusiwajumuishe waislam wote kwenye hau uhuni kama ambavyo hatupaswa kuwajumuisha wakristo wote kwenye kitendo cha kijinga alichokifanya yule mtoto.

Kuhusu suala la kikundi cha wahuni kinacho fadhiliwa sitaki kuzipinga au kuzisadiki hizo habari.

Nashauri wenye taarifa wazitoe kwenye vyombo vya dola vizifanyie kazi au wazitoe kwa vyombo vya habari ili wafanye uchunguzi.

Tanzania ni yetu sote, tusikubali kupoteza amani na utulivu tulionao katika jamii yetu.

Sawa lakini mbona hili jambo limekua linajirudia mara kwa mara? znz,bagamoyo na sasa mbagala, kesho sijui itakua wapi?
Wakristo nao ni binadamu itatokea siku watachoka na hii tabia na hawatowackiliza tena viongozi wao wa dini, kwa sababu wanaochoma makanisa wanachoma kwa mgongo wa uislam
 
Mtoa mada una busara ya hali ya juu. Mungu amekuongoza vema mpaka ukaandika maneno yenye busara na mwelekeo wa jinsi ya kutatua tatizo na sio kutafuta mchawi nani. Hakuna elements za udini kwenye mada yako na naomba wachangiaji wajikite kwenye mlengo huohuo.
 
Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?

" Werevu haununuliwi,kama ungekuwa unanaunuliwa wote tungekuwa nao"

KAMWE HAUTAKUJA KUSIKIA KIJANA WA KIISLAMU KUA AMEKOJELEA BIBLIA AU KUMTUSI YESU.

MIMI NIMESOMA MADRASA, TULICHOFUNDISHWA NIKUA UKIMTUKANA YESU, UMETOKA KATIKA UISLAMU. NA UKITUKANA VITABU VITABU VITAKATIFU, ZABURI, TAURATI, INJILI NA QUR-AN, UMETOKA KATIKA UISLAMU VILEVILE.

LAZIMA UELEWE, MUNGU WA ADAMU(A.S),NUHU(A.S), DAUDI(A.S), SULEIMAN(A.S),IBRAHIMU (A.S), MUSSA(A.S), AYOUB(A.S), ISSA (YESU)(A.S) N.K. NDIO MUNGU WA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NA WAISLAMU. HIVYO WAISLAMU WANAWAHESHIMU MANABII WOTE HAO. NA WOTE HAO, NI WAJUMBE NA MITUME WA MWENYEZI MUNGU. NA HAKUNA HATA MMOJA KATI YA HAO KUA YEYE NI MUNGU.

MUNGU NI MMOJA NA WALA SIO WATATU. MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA. WALA HANA MSHIRIKA KATIKA MILKI YAKE.

Hayo ndio mafundisho ya Uislamu.
 
Tatizo hapa wapo walioelewa lengo la mtoa mada, na wengine hawajaelewa kabisaaaa maana hiyo michango wanayoitoa mhhhh!!!! wote tungemwelewa mtoa mada km nilivyomwelewa mimi nadhani ingekuwa kitu rahisi sana.
 
ndugu yangu kunajisi sio tu kitendo cha ngono ni kutia uchafu kitu kitakatifu. Pia mada inasema mtoto alitumwa. Itakuwa ni busara ikathibitika kuwa hakutumwa kwa kuhojiwa. Inawezekana wewe hukumtuma yeyote lakini unajuaje mwingine? Pia je kulipiza kisasi ni kwa asiyehusika? Ukipigwa na adui yako. Utamlipiza kisasi jirani yako? Kulipiza kama ni sawa je huoni unasema wakristo wajipange kuvamia misikiti?
Hata kama kulipiza kisasi ni sawa basi busara inasema nani alipizwe?
Nilidhani katika mada yangu hakuna chuki ninayichochea ila ninaeleza ukweli juu ya jambo ambalo waislamu wengi wanalifahamu juu ya kikundi kinacholeta vurugu kwa mgongo wa dini. Somalia karibu wote ni waislamu lakini wanaipinga alshabab. Iraq ni nchi ya kiislamu lakini alqaida haikubaliki.

Ndio maana nikakwambia, waislamu wanaviheshimu vitabu vyote vitakatifu. Katu muislamu hawezi kunajisi kitabu kinachotaja majina ya mitume watakatifu.
 
jinsi ulivyo anza tu makala yako, ni ushahidi kua wewe ni wakala wa shetani. unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is anti-islamic. We muslims never do such things. Lakini ni kawaida yenu kuwachokoza waisilamu halafu na kuanza kulia lia. Mnajazwa chuki makanisani kwenu mpaka mna waharibu na watoto wenu.

Hebu nitajie, ni kijana gani au muislamu gani, uliwahi kumsikia aki mkashifu yesu au kuchana kitabu cha biblia.

Waislamu wanajadili kwa hoja na sio kashfa au matusi au uchokozi.

Hakuna mwizi anaepigana wakati akifukuzwa kwa sababu dhamira ina msuta. Ndio maana mnapo tuchokoza, mnatahayari na kulia lia tu.

Hata wakirsto wenye nia nzuri, wameungana na sisi kulaani kitendo kile.

Badala ya kuhubiri dini katika makanisa yenu mnahubiri chuki na ibada za mashetani. Siku hizi wachungaji wote wamekua waganga.

Waislamu hawana chuki na wakirsto au wasio kua na dini wasio wabugudhi waislamu.


islam is a religion of peace. but it defends itself when it is attacked. We muslims, never turn the other chick. be warned.
id yako inaonyesha tosha wewe ni rafiki wa nani wewe pia sio muislam maana uislam safi haukubali uganga wakienyeji kwikwiwkwiwkiwkwiwkwiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwki toa kwanza kibanzi pwiwpwiwpwiwpwiwpiwpwiwpwwpwiwpwiwwi
 
MAMBO YA MUHIMU NA YA KUZINGATIWA KWA HARAKA.*
Nimeongea na kiongozi mmoja wa dini na akasema yafuatayo.*
Waislamu wachache wenye nia mbaya na wanaofadhiliwa na makundi fulani wanataka kuchafua jina la dini ya kiislamu ionekane hovyo na ya wasio na hekima, wasio na subira, wakatili nk.*
Aliniambia kuwa tukio hilo limepangwa na kikundi hicho.
Anasema mtoto aliyekuwa anajibizana na mwenzake alitumwa na kundi hilo.*
. Kijana aliyekuwa akifanya ubishi alitumwa amwambie huyo mtoto hivyo, huku kila mtu akijua matokeo yake na malengo yake.*

ANGALIENI MFANO WA ABUNUWASI USIWAPATE VIONGOZI.*
Kuna hadithi ya Abunuwasi alikutana na vijana, " .

Kijana aliyejibizana na mwenzake aisaide polisi katika hili ninalolisema. Waliomtuma malengo yao yakitimia hata viongozi wa leo hamtakuwa salama.

Kisa ikichomwa ionekane kuwa wakristo wamechoma. Waliovunja mabucha ya nguruwe walimtuma mtoto akanunue nyama ya nguruwe. Kisha wakaanza kuhimizana na kuanza vurugu walizokuwa wamepanga.*
.*
Tuweke busara zetu hapa waaibike wanaodhania busara ni kidogo.*

Makala yako imesheheni busara na hekima - hekima za ki-Abunuwas - naomba niungane na wengine kukupongeza kwa hekima hizo.

Mimi ushauri wangu ni mmoja, labda hekima zako zisiishie kwenye posting tuu, kwa vile umeongea na kiongozi wa dini (unamjua, umeongea nae) na amekuthibitishia uwepo wa kundi hilo baya (anazo taarifa za kundi hilo) basi maelezo hayo yapeleke polisi ili iwe ndiyo sababu za kusambaratishwa kundi hilo ovu. Na nategemea kwa hekima zako utawapa ushirikiano wa kutosha polisi na mahakamani kwa ajili ya amani na usalama wa watu na nchi hii.
 
Uislamu ni mpango wa Mungu kuonesha how shetani anavyofanya kazi.

Biblia iliposema kuwa" mpo duniani katikati ya mbwa mwitu" hapo haikukosea bali ilikuwa ikimaaanisha hawa wazawa wa ismail warithi na watenda kazi pamoja ya shetani na malaika zake.
Ndio maana hushangai kuona ili mtu uwe shek ni lazima uwe na MAJINI mengi tena ya kutosha kuanzia 90( ushahidi wa quran).
Tunapoambiwa kuwa shetani ni mbaya na hapendi amani basi ni lazima tujue kuwa huyo shetani ni dini hii ya waarabu.
Pia ni unafiki kusema eti uislamu ni dini ya amani mfano angalia somalia, sudani iraq, afighanstan ect.

"KILA GOTI LITAPIGWA NA ULIMI UTAKILI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU"
 
Wewe una werevu gani ilhali unaongea upuuzi, a reasonable man discusses a SOURCE and finds a reasonable solution 4 it and not the IMPACT.

na wewe source yako ni ipi? Nyanya we hebu kuwa unajifikiria kabla hujapost kama unaona mwenzako kakosea sema kilicho sahihi.
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.


ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.

umeweka wazi kiwango cha busara ulichonacho
 
HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.


Mihadhara karibu yote huwa inamkashifu YESU, inakashifu BIBLIA na inakashifu UKRISTO. Na wanaokashifu si watoto bali ni viongozi wa dini waliopata mafunzo ya dini na wanaowaongoza WAISLAMU. Jaribu kutokuwa KIPOFU wa fikra katika kutoa hoja yako hii.
 
Waefeso 6:10-12 Inasema,

“Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.

Vaeni silaha zote za Mungu, mpate
kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”
 
KAMWE HAUTAKUJA KUSIKIA KIJANA WA KIISLAMU KUA AMEKOJELEA BIBLIA AU KUMTUSI YESU.

MIMI NIMESOMA MADRASA, TULICHOFUNDISHWA NIKUA UKIMTUKANA YESU, UMETOKA KATIKA UISLAMU. NA UKITUKANA VITABU VITABU VITAKATIFU, ZABURI, TAURATI, INJILI NA QUR-AN, UMETOKA KATIKA UISLAMU VILEVILE.

LAZIMA UELEWE, MUNGU WA ADAMU(A.S),NUHU(A.S), DAUDI(A.S), SULEIMAN(A.S),IBRAHIMU (A.S), MUSSA(A.S), AYOUB(A.S), ISSA (YESU)(A.S) N.K. NDIO MUNGU WA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NA WAISLAMU. HIVYO WAISLAMU WANAWAHESHIMU MANABII WOTE HAO. NA WOTE HAO, NI WAJUMBE NA MITUME WA MWENYEZI MUNGU. NA HAKUNA HATA MMOJA KATI YA HAO KUA YEYE NI MUNGU.

MUNGU NI MMOJA NA WALA SIO WATATU. MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA. WALA HANA MSHIRIKA KATIKA MILKI YAKE.

Hayo ndio mafundisho ya Uislamu.

we tutolee uwendawazimu wa nadharia za kiarabu humu kwa magreat thinkers!
Ebooo!
 
uislamu ni mpango wa mungu kuonesha how shetani anavyofanya kazi.

Biblia iliposema kuwa" mpo duniani katikati ya mbwa mwitu" hapo haikukosea bali ilikuwa ikimaaanisha hawa wazawa wa ismail warithi na watenda kazi pamoja ya shetani na malaika zake.
Ndio maana hushangai kuona ili mtu uwe shek ni lazima uwe na majini mengi tena ya kutosha kuanzia 90( ushahidi wa quran).
Tunapoambiwa kuwa shetani ni mbaya na hapendi amani basi ni lazima tujue kuwa huyo shetani ni dini hii ya waarabu.
Pia ni unafiki kusema eti uislamu ni dini ya amani mfano angalia somalia, sudani iraq, afighanstan ect.

"kila goti litapigwa na ulimi utakili kuwa yesu ni mwana wa mungu"
heiheiehiehiheieeeh kwiwkiwkwiwkwiwki what is my realy name ????????
 
Back
Top Bottom