Recent content by mganyiz magayane

  1. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duuuuuuu!!!!!! Kumbe huijui Man united maskini. Pole sana kijana
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    RIP baba mzazi wa DED wangu kwa sasa halmashauri ya Handeni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo mfumo wa udahili wanafunzi sekondari Tz

    Elimu ya Tanzania ifanane na Kenya ? Hilo sahau
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

    Huyu jamaa ni wawapi? Awatazame wazungu na mpira alafu aangalie maendeleo yao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hakuna atakaecoment hapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Ni mambo machache sana tunayoweza kumkumbuka Nyerere.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Slow slow ,Bashiru,laana ya kukata wagombea uchaguzi waliopigiwa kura na wajumbe kwa kura nyingi nafasi za ubunge haiwezi kuwaacha salama.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Haya ni madini kiongozi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Nacte au Wizara ya Elimu ili nitoke Tamisemi

    Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degree. Nina miaka 14 toka niajiriwe. Niliajiriwa na certificate but now nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018 Nipo shule ya msingi ni mwalimu mkuu lakini hiki cheo kinanitia umaskini kwakweli. Wakati nasoma University lengo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli shahada ya pili haitambuliki kwa watumishi wa Serikali?

    Kwenye elimu kusoma shahada ya uzamili ni kupoteza rasilimali fedha make hakuna faida yoyote.Upatikanaji wa vyeo una process na ni kujuana zaidi Halimashauri yetu ina waalimu 15 wana masters ila wameishia kwenye UMEKI kulipwa posho ya 250,000/=
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

    Sawa bidada
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr Mpango aongoza Wananchi kwenye mapokezi ya Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere!

    Wakristo mko vzr kumbe bado mna mitume? Mtume Petro ,nasikia huyu mtume Petro anasamehe dhambi.Ukienda kwake ukatubu anakwambia usirudie nimekusamehe.Pole sana wakristo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Huyo JPM angetawala milele? Je kabla yake walimu walikuwa hawafundishi?
Back
Top Bottom