Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
Ushetani wa CCM, ni nani ana mashaka nao? Tangu lini shetani alijitenga na uovu?

Nani alipanga na kutekeleza mpango uliokusudia kumwua Tundu Lisu?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani amempoteza Ben Sanane mpaka leo?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimpoteza Azory Gwanda?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimwua Mawazo?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimteka na kumtesa Dr Ulimboka?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimpoteza Kanguye?
Jibu: Ni CCM na mawakala wake.

Nani alipora pesa ya umma kupitia IPTL na Escrow account?
Jibu: Ni CCM na mawakala wake?

Ni nani wanaolinda na kufanya kufanya wizi wa rasilimali za nchi?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

CCM ni alama ya uovu, ushetani na laana kwa Taifa letu. Hakuna uovu ambao CCM haishiriki, kuanzia wizi, ufisadi, rushwa mpaka mauaji.

Jiweke mbali na shetani CCM, uepuke laana.
 
Yaani hata hujui kuwa Tanzania hatuna sheria ya uraia wa nchi mbili...

Propaganda zingine ni za kishamba sana. Jitahidi uende shule ya propaganda at least.

CC: Lucas mwashambwa
 
Akili za kipumbavu kweli, Awamu ya sita haina Upumbavu wa awamu ya tano, aje tu ajifanyie siasa zake za kistaarabu bila kutukana mtu, Awamu ya sita ni awamu ya wachamungu, acha kutafuta VISINGIZIO vya kipumbavu, huyu amekwisha Pima upepo na kuona hawana hoja za kimsingi kwa watanzania wa leo.
 
Ushetani wa CCM, ni nani ana mashaka nao? Tangu lini shetani alijitenga na uovu?

Nani alipanga na kutekeleza mpango uliokusudia kumwua Tundu Lisu?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani amempoteza Ben Sanane mpaka leo?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimpoteza Azory Gwanda?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimwua Mawazo?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimteka na kumtesa Dr Ulimboka?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

Nani alimpoteza Kanguye?
Jibu: Ni CCM na mawakala wake.

Nani alipora pesa ya umma kupitia IPTL na Escrow account?
Jibu: Ni CCM na mawakala wake?

Ni nani wanaolinda na kufanya kufanya wizi wa rasilimali za nchi?
Jibu: Ni shetani CCM na mawakala wake.

CCM ni alama ya uovu, ushetani na laana kwa Taifa letu. Hakuna uovu ambao CCM haishiriki, kuanzia wizi, ufisadi, rushwa mpaka mauaji.

Jiweke mbali na shetani CCM, uepuke laana.
Rubbish ever!
 
Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
Hakika umenena kweli ndugu yangu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unatumia nguvu nyingi kuisafisha serikali yko wkt 2017 ndiyo iliyofanya jaribio la kumuua lissu??
 
Tatizo wanachama walio wengi wa cdm wanawaamini sana wachungaji na uongo wao na mazingaombwe
 
Hata Ben Saanane mlikataa hivi hivi . Mpaka Leo hayupo.
 
Lissu alishadhuriwa na serikali hii, tena akiwa ameshalalamika mara kadhaa kuhusu hatari ilivyokuwa ikimnyemelea, mwisho akashambuliwa. Akajitibu kwa garama zake na wasamalia wema akarudi Tanzania KUWAKUMBUSHA MBUMBUMBU KAMA WEWE kuwa Bado Tanzania ni kichaka cha wizi wa pesa za uma, ni kichaka cha huduma mbovu za kijamii, ni kichaka cha kuuza rasilimali za uma, ni kichaka cha viongozi walio madarakani bila ridhaa ya watz, WAKATI ANAENDELEA KUWAKUMBUSHA MBUMBUMBU KAMA WEWE haya yote akapata ujumbe wa kutaka kudhuriwa mara ya pili, ( akaokolewa na ubalozi ujerumani), akaenda nje ya nchi akapumzika( kwa sbb ndiko sehemu salama), amerudi juzi amefanya kama ambavyo amekuwa akifanya na safari hii AMEKUTETEA HADI WEWE AMBAYE MAMA YAKO NI MMASAI ANAEHAMISHIWA MSOMERA, mkamkamata eti anafanya vurugu, ameenda kupumzika. Sasa hivi wasamaria wema wanasema wana taarifa za LISSU kudhuriwa wewe unaleta bandiko kuwa ametunga. ITOSHE TU KUSEMA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YENYE WATU WAJINGA SANA WEWE UKIWEMO.
 
Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
hudhalendo wa Lithu niwamashaka thanahahaminiki kabithaa
 
.
JamiiForums470441091.jpg
 
Back
Top Bottom