Nataka kuhamia Nacte au Wizara ya Elimu ili nitoke Tamisemi

Mar 14, 2017
38
113
Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degree. Nina miaka 14 toka niajiriwe.

Niliajiriwa na certificate but now nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018

Nipo shule ya msingi ni mwalimu mkuu lakini hiki cheo kinanitia umaskini kwakweli.

Wakati nasoma University lengo lilikuwa nikirudi niombe kuhama but nikawa na changamoto nyingi za kifamilia.

Sasa naomba anieleweshe nifanyeje nimechoka kukaa huku nataka nihamie Nacte au Wizara ya Elimu. Umri wangu kwa sasa miaka 38.

Nishaurini wanaJF huenda nikapata abc cha kufanya.
 
Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degreee.Nina miaka 14 toka niajiliwe.

Niliajiliwa na sertificate but nowa nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018 Nipo shule ya msingi ni mwlm mkuu lakini hiki cheo kinanitia umakini kwakweli.

Wakati nasoma University leongo lilikuwa nikirudi niombe kuhama but nikawa na changamoto nyingi za kifamilia.

Sasa naomba anieleweshe nifanyeje nimechoka kukaaa huku nataka nihamie Nacte au wizara ya elimu.Umri wangu kwa sasa miaka 38.

Nisharini wanajf uwenda nikapata abc cha kufanya.
Niajiliwe = niajiriwe. Kwa uandishi huu basi wewe ni mtu mwenye bahati sana kuweza kuwa mkuu wa shule. Yaani umeandika kama kijana wa darasa la nne shule ya msingi Kigogo. HII NI AIBU
 
Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degreee.Nina miaka 14 toka niajiliwe.

Niliajiliwa na sertificate but nowa nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018 Nipo shule ya msingi ni mwlm mkuu lakini hiki cheo kinanitia umakini kwakweli.

Wakati nasoma University leongo lilikuwa nikirudi niombe kuhama but nikawa na changamoto nyingi za kifamilia.

Sasa naomba anieleweshe nifanyeje nimechoka kukaaa huku nataka nihamie Nacte au wizara ya elimu.Umri wangu kwa sasa miaka 38.

Nisharini wanajf uwenda nikapata abc cha kufanya.
Huu ndio uandishi wa Mwalimu wa kitanzania

Kazi tunayo
 
wewe ni moja miongoni mwa wale walimu wa Voda Faster?
 
Huu ndio uandishi wa Mwalimu wa kitanzania

Kazi tunayo
Tukubaliane tu, hili kwa sasa ni janga la kitaifa.

Nilitaka nikosoe uandishi, kabla ya kufanya hivyo nikasema ngoja nisome comments kwanza. Bahati nzuri nikakuta nimewakilishwa.

Nilifundishwa na Walimu wenye taaluma ya UPE(sijui kirefu chake kilikuwa nini) lakini kwenye uandishi walikuwa maridadi sana, kiswahili kilichonyooka. Kundi hilo wengi wao washatundika daluga(staafu) lakini products walizoziachia ndio zimekuwa janga.

Siwezi kumlaumu mleta mada maana wapo hata wenye PhD zao ila kuandika lazima aandike baadhi ya maneno yenye herufi nusu nusu, hili jambo naona ndio linaonekana fasheni ilihali ndio tunadidimiza uandishi fasaha wa Lugha ya kiswahili.
 
Tukubaliane tu, hili kwa sasa ni janga la kitaifa.

Nilitaka nikosoe uandishi, kabla ya kufanya hivyo nikasema ngoja nisome comments kwanza. Bahati nzuri nikakuta nimewakilishwa.

Nilifundishwa na Walimu wenye taaluma ya UPE(sijui kirefu chake kilikuwa nini) lakini kwenye uandishi walikuwa maridadi sasa, kiswahili kilichonyooka. Kundi hilo wengi wao washatundika daluga(staafu) lakini products walizoziachia ndio zimekuwa janga.

Siwezi kumlaumi mleta mada maana wapo hata wenye PhD zao ila kuandika lazima aandike baadhi ya maneno yenye herufi nusu nusu, hili jambo naona ndio linaonekana fasheni ilihali ndio tunadidimiza uandishi fasaha wa Lughavya kiswahili.
Mkuu kwenye andiko lako pia jaribu kuhariri maana kuna makosa pia baadhi nimeyaona
 
Wewe kama mtumishi Nina imani unafahamu taratibu za kufata ili uweze kuhama, hivyo fata hizo taratibu uweze kupata unacho hitaji

Sijajua ulichukua shahada ya nini? Na GPA pia... ikiwezekana una weza kwenda vyuo vikuu kwenda katika nafasi za Registrar, Dean of Students nk...

Au huko wizara ya elimu nk...!

Andaa barua zako pitisha kwa muajiri wako na zipeleke huko sehemu husika, Au tafuta watu huko wakupe msaada wa kuulizia nafasi za kuamia kwa nafasi unazo hitaji...

SUA utapata nafasi
Udom pia

Sehemu zipo za kuamia jitahidi kupambania malengo yako kaka!

Kila la kheri
 
Andik
Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degreee.Nina miaka 14 toka niajiliwe.

Niliajiliwa na sertificate but nowa nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018 Nipo shule ya msingi ni mwlm mkuu lakini hiki cheo kinanitia umakini kwakweli.

Wakati nasoma University leongo lilikuwa nikirudi niombe kuhama but nikawa na changamoto nyingi za kifamilia.

Sasa naomba anieleweshe nifanyeje nimechoka kukaaa huku nataka nihamie Nacte au wizara ya elimu.Umri wangu kwa sasa miaka 38.

Nisharini wanajf uwenda nikapata abc cha kufanya.
Andika barua direct Kwa katibu mkuu wizara ya elimu ,ya kuomba nafasi ya kuhamia wizara ya elimu , ipitie Kwa mwajiri wako ambae ni mkurugenzi ,apitishe na kusaini barua iyo then ,uambatanishe taarifa zako za kiutumishi,kama cheti cha taaluma ya ualimu,cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa ,cheti. Cha kidato cha nne,then unaviambatanisha na barua ya maombi ya kuhamia wizara ya elimu unavituma Kwa katibu mkuu wizara kupitia posta Kwa njia ems ,unakaa una relax unasubir kijibiwa barua Yako kama Kuna nafasi unaandika barua kwenda utumishi ya kuomba kibali cha kuhamia wizara ya elimu , ipitie Kwa mwajiri wako apitishe. Na kusaini ,pamoja na kuambatanisha na barua ya katibu mkuu wizara ya elimu aliokujibu kuwa Kuna nafasi ipo ,unakaaa unasubiri uhamisho wako maana katibu mkuu utumishi hawezi zuia uhamisho wako utakuwa umefata vigezo na taratibu za kiutumishi
 
Back
Top Bottom