Recent content by Mfyuu Fuata Yako

  1. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Leo kama najiona nalala na njaa kali

    Kwenye circle yako, umekosa mtu unae mjua ambae anaweza kukupa 2,000 ukale? Hadi ulazimike kuja kuomba Jf?
  2. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Sasa nikusaidiaje mkuu? Punguza chuki na utafute hela au ubadilishe kada kama huo ualimu huupendi.
  3. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Sasa hata ukichukia hainiondolei u lecturer wangu
  4. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Nimesoma sekondari Olevel na Advance, kote kipindi cha likizo, jamaa wasio waalim walikua wakitufundisha mapindi tuition na walinisaidia kupata div 1.7 O level na 1.5 PCM advance. Shuleni walimu wengi walikua chai na shallow. Hivyo, usikariri maisha mkuu. Currently mimi ni lecturer katika chuo...
  5. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

    Acha mipalestina iuawe, kwanini waanzishe ugomvi wasio kuwa na ubavu nao? Ua kima hao
  6. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

    Mleta mada una matatizo ya kiakili yajulikanayo kama "Bipolar Mania". Tafuta msaada wa daktari haraka kabla mambo hayajaharibika
  7. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Rais Samia ni dikteta
  8. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Nauza paka wa nyumbani

    Duuuh.... Mama lete grisi
  9. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    Ahsante nini, uwe unalipa madeni ya watu
  10. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    Laki moja umekosa wa kukopa hapo ofisini wala mtaani pako? Wewe ni tapeli au mdhulumaji
  11. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Kumbe ina shida? Nimeibadili
  12. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais Samia wawatesa na kuwatetemesha CHADEMA

    Teuzi hazitafutwi hivi bwana mdogo
  13. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Tupo mwishoni mwa mwisho wa dunia. Yesu yu malangoni
  14. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Nasemajee

    Utoto rahaaa
  15. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Njoo PM nikupe namba za jirani akukule, ila sijui kama utauweza mziki wake
Back
Top Bottom