Jamaa na demu wake walipanga kujiua,wakapnda kwenye gorofa la 10,wakaanza kuhesabu 1,2, ikifika 3 waruke,3 ilipofika jamaa akaruka dem akabaki na kujisemea "love is blind but I'm not blind,kisha akaondoka,mwanaume akiwa anashuka akaangalia nyuma alipoona hamna dem akafungua parashuti lake...