Ajali mbaya ya tank la mafuta muda huu mlimani Sekenke wilaya Iramba mkoa wa Singida

aiseeeeee babaangu ningekwepo eneo la tokio ningeenda kuchomowa betri,,betri la scania ni kati ya laki 3 au 4

Katika ile ajali iliotokea kule mbeya ya wananchi waliokuwa wanachota mafuta kulipukiwa na wengi wao kufa... kuna marehemu mmoja aliewaponza wenzake.. Wakati wenzie walikuwa busy kuchota mafuta.. yeye akaenda kuchomoa betri.. Akatengeneza cheche.. Kilichotokea wakijua.. Ucisogelee betri wakati wenzio wanachota mafuta..
 
kaka sekenke usiku huu ulikuwa unafanya nini?nawe lazima umebeba vyako then unataka uwaaribie wenzako acha nao wajipatie riziki yao maana imewafuata kwani mungu alisema jisaidie nami nikusaidie.
 
Kweli ndg mwanakidagu mawazo yako ni ya msingi sana kwa ajili ya maisha ya watu ni vizuri kutafuta mbadala salama wa tatizo kama hilo.achana na mawazo ya wengine kama mchaniaji aliepita kwani maneno yake yananikumbusha methali isemayo.JIWE LILILOKO BAHARINI HALIJUI KIU YA MTENDE ULIOKO JANGWANI. Ndg yetu huyu hajui hatari ya wote walioko karibu na eneo la tukio mafuta,betry na vingine vyote ni nini?kwa uhai wa mtu kupotea?si lolote! Kamanda singida uko wapi?????? Na kikosi chako cha FFU. Mambo yako sekenke
 
..........Nchi za wenzetu...kenya, Nigeria majanga haya ya matanki ya mafuta kulipuka yametokea sana.. sasa hapo kazi ni kwa ile helkopta ya polisi ishughulike ..

Nani kakudanganya helicopter ni kwaajili ya kuwasaidia waTz wajinga msiojua wajibu wenu?
 
Ujinga ujuha na umaskini utamaliza watu wetu. Nadhani hili halihitaji polisi kuwaambia watu kuwa kuchota mafuta ni janga ambalo mwisho wake unaweza kuondoka na maisha ya watu. Kama wahusika wanathamini mafuta kuliko uhai wao waache wateketee. Ni vifo vya kujitakia.Shame on you all!

Mkuu ugumu wa maisha ndo unaowapelekea kufanya kitu kama hicho wala usiwalaumu wakulaumiwa ni wale walioacha kupiga kura 2010 na wale walioisaidia ccm kuiba kura ili ccm irudi madarakani ambayo ndiyo imekuwa kinara wa kuyafanya maisha yawe magumu hata kwa watoto
 
acha unafiki wewe ushaiba mafuta hapo unataka polisi waje wakulinde kubeba mafuta yako. Mwizi wewe umeenda kufanya nini sekenke hapo. au ulikuwa dereva wa lorry ukauza mafuta Bahi na kwenda kulichoma lorry la watu sekenke kupoteza ushahidi? Mmiliki wa lorry hakuachi bora usepe

Sidhani kama nitakuwa nimekosea nikisema kuwa umepaparatikia hii habari pasipo kuisoma na kuielewa
 
Back
Top Bottom